juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,466
YES of course ila point yangu kwa nini asingemtimua kabla ili aanze na damu mpya kuanzia usajili wa wachezaji??Wengi simlikuwq mnataka afukuzwe hata baada ya usajili
Soon atakuwa takataka. Hahahaaa 😉1. Mkurugenzi gani wa michezo mzuri atakubali kufanya kazi na Tajiri miluzi (mhemko/papara nyingi kwenye kuendesha timu)?
2. Mkurugenzi gani wa michezo mzuri atakubali kuja kufanya kazi na kocha mwenye uwezo mdogo?
3. Mkurugenzi gani wa michezo mzuri atakubali kuja kufanya kazi kwenye club ambayo haijatulia ajiri na fukuza nyingi?
4. Mchezaji gani mzuri baadae atakubali kuja THE BLUES timu yenye tajiri mhemko?
Kumbuka huyo Freund ni mwajiriwa wa Salzburg, sio rahisi kama unavyodhan, Changamoto ilikuwa kwa Salzburg since wanamkataba nae,Freund amekataa kufanya kazi na Tajiri miluzi View attachment 2363214
hamna goli alisababsha loftus cheekHapo nitatofautiana na wewe. Chanzo ilikuwa kocha. Siku ile Kante hakuwa vizuri kwenye kuzuia na alishafanya fatal mistakes kadhaa. Badala ya kum sub, TT akakomaa naye mpaka akasababisha goli. Karudie kuangalia tulivyofungwa.
mount anatuzngua sana kwa nafas yake anahitajka mtu ambae awe anarahsisha mpira kwanza yeye hilo hawez anacheza mpira mgum kwa maana cio creativity pil hatengenez nafas,hawez hat kumdrible mchezaj sas namba kum gan huyo jarbu ku refer namba kum wa chelsea kabla ya mount na huyo chz havertzHata Mount unamuweka, kweli wewe umetumwa, mchezaji mwenye uwezo wa kufukisha double digits kwenye magoli na assists kweli na ameprove hivyo. Mchezaji bora kwa misimu miwili iliyokaribiana, misimu mitatu ya first team, mchezaji bora misimu miwili. Futa kauli yako juu ya Mount ama watakuona huelewi soka
kutosajil kabisa ilikuw haiwezekan kwa sabab tulishauza mabek watatu na ndio sabab inayotusumbua chelsea hilo dirisha mbali na kusajil viongoz wa ngaz tofaut tulitakiw tuwalinde wale mabek tuliokuwa nao ndpo tusajil frontline na midfielder mmoja ingependeza zaidTajiri miluzi mapepe, papara, ujuaji mwingi mbele giza. Mipango yake anaifanya vise versa.
1. Angemuajiri kwanza Mkurugenzi wa michezo.
2. Tajiri na Mkurugenzi wa michezo washauriane na kumleta kocha mpya, atakayematch maono na mipango yao.
3. Kufanyika kwa Usajili.
4. Kuajiri na kuboresha vitengo vingine vya kimasoko n.k
[emoji117] Sasa Tajiri miluzi ameanza kwa kufukuza watendaji wakuu, amejimilikisha vyeo vyote, kafanya sajili za kukurupuka kwa kushirikiana na TT na amemfukuza.
[emoji117] Kamleta Potter ambaye atapata Changamoto ya kufanya kazi na wachezaji ambao hakuwasajili, wachezaji kachumbari, mwisho wa siku tajiri miluzi atakurupuka tena atamfukuza.
[emoji117] Yaani bora dirisha hili tusingesaji wachezaji bali wangeletwa kwanza Mkurugenzi wa michezo na kocha halafu Tajiri, Mkurugenzi na Kocha wakakaa pamoja wakakisoma kikosi na kushauriana kisha kuja na mahitaji na mipango ya kukiboresha kikosi kimkakati kwenye madirisha yajayo ya usajili.
Tungekwenda vizuri kuliko hii vise versa ya sasa
Samahani, una shida kwenye kuelewa maandiko unayosoma?
Akipatikana calibre kubwa zaidi yake hakuna mtu atapinga kabisa. Nikweli nafasi kama ya kwake inamuhitaji kiungo mbunifu sana kama akina Modric au Tchouamenimount anatuzngua sana kwa nafas yake anahitajka mtu ambae awe anarahsisha mpira kwanza yeye hilo hawez anacheza mpira mgum kwa maana cio creativity pil hatengenez nafas,hawez hat kumdrible mchezaj sas namba kum gan huyo jarbu ku refer namba kum wa chelsea kabla ya mount na huyo chz havertz
Sent from my WAS-TL10 using JamiiForums mobile app
Hichi kizazi cha wachezaji tulionao sio kama ile ya akina Lampard, Terry, kazi kumlalamikia kocha na kugoma kucheza wakati kumbe wanapogoma wanajiharibia wao wenyewe. Nampempenda mchezaji asiye lalamika na kufocus kwenye kuinua kiwango chake kila siku
Mmeupata ujumbe wenu kwa Patrick Evra? au mnakuja tu kuvamia thread za watu
Na kwa taarifa yako Pulisic alikuwa garasha toka BVB, hakuwahi kuwa quality player, ndio maana mimi simuwekagi Pulisic kwenye wachezaji walioflop hapa Chelsea bora hata Ziyech na Werner tukiwaita flopsHuu ujinga wa Pulisic huwezi kuona wala kuusikia Man city.
Angekuwa pale CITY angeongea huu ujinga over Grealish, Marhez, Foden
Pep angempiga benchi msimu mzima na angemuondoa kwa makofi.
Pulisic anajiamini kuongea hivi kwa sababu nafasi yake anayocheza THE BLUES, mbadala wake bado ni low quality players.
Mpaka leo namlaumu sana Marina kutujazia magarasa mengi kikosini.
Potter anafanye juu chini awaondoe kikosini Pulisic, Ziyech, Azipuculeta, Jorginho.