John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,042
Unatutishia na Huyo kijana Jesus anayeenda mechi ya 9 hii with no goal[emoji16]Timu imejaa wazee hii, kesho tutawakimbiza ,ulimi nje TU
Kesho utashuhudia watu wakihema Kama mambwa [emoji1787][emoji1787]
Maana martinel na saka plus Jesus wanavyopenda Sifa
Wote hao Average age Yao Ni 23 tu, Sasa beki za Chelsea average age Ni 35[emoji1787][emoji1787]
Kovacic anarejea mzee alifanya pia na mazoeziChilwell
Kante
James
Fofana
Kovacic - Maumivu
Kombe la dunia lije tuu tupumzike.
Adabu kama hizi huwa ndio tunazitaka sanaLeo hapo baadae tutacheza kama underdog
Tukieka pembeni utani wa sokaFrank Lampard akimuongelea Ngolo Kante alisema
"Kante aliniambia baada ya dakika 105, mapumziko ya muda wa nyongeza.
Miguu yangu imekufa, miguu yangu imekwisha. Halafu baadaye nikamuona akikimbia mita 50 kwenda kunyang'anya mpira"
View attachment 2408209
Hapa umeongea vizuri SanaTukieka pembeni utani wa soka
Hiki chuma nakikubali sana
Huwa anauwezo wa kuleta balance kwenye timu
France anachukua kombe la dunia, kante aliwafanyia kazi safi sana pale dimbani
Pogba akawa ana shine tu kila game
Final wanawapiga Croatia kiulaini kabisa
Hakina mnapigo kubwa sana, majirani
Ilibidi muandae replacement yake mapema sana
City walimuandaa replacement ya fernandinho ambae ni rodri mapema sana
Kovasic na joginho kwa pamoja hawawezi kukupa kitu alichokua anatoa mnyama kante
Hazard alikua anasema "kante is everywhere"
Hizo mech 9 za wapiUnatutishia na Huyo kijana Jesus anayeenda mechi ya 9 hii with no goal[emoji16]
Unategemea wazee kina koloboi wamzuie Saka na martinel?Nyie cheltako nawategemea mnipigie wale watoto arsewali wanakelele sana pigeni hata kimoko tu.
100%[emoji818]Sure chief.
Tulitakiwa tufanye replacement ya Kante baada ya ile fainali ya BAKU.
Baada ya ile fainali Kante hajawa full fit tena zaidi ya kucheza na maumivu.
Mistake aliyofanya Marina ni kwenda kumsajili Saul kwa mkopo badala ya kusajili Mashine replacement ya Kante.
Hiki Kikosi chetu kingekuwa na wachezaji watatu tuu mmoja aina ya Kante, mwingine aina ya Fabrigas na mwingine aina ya Hazard na vilaza wengine waendelee kuwepo tungefanya vizuri sana
1 KANTE = 100 Jorgnho + 20 Kovacic
Tatizo unakurupuka[emoji16] hizo mechi kaangalie NI Kati ya 8/7 michuano yote anaenda blank ...sasa goli 5 faza huyo c km phiri Tu angekuwa kane sawa [emoji23]Hizo mech 9 za wapi
Kwa EPL amecheza mech 12 ana Goli 5 assist 6
Haya Leta Forward wako mwenye G/A 11 Mechi 12
Unapo taja jina la fabrigas naumia roho yangu100%[emoji818]
Hazard katusumbua sana yule mbwa[emoji119]
Fabrigas aliufanya mpira uwe mchezo rahisi sana
Atakama haujui kufunga ukicheza na fabregas utajua tu
Muhuni anapiga pasi za upendo balaa sana
Nitashangaaa sana Chelsea akifungwa na Arsenal wakati Chelsea alimfunga Ac Milan nje ndani Tena na Clean sheetTumefungwa jaman .huko mbele sterling ,havert,auba wote hawakabi.tutapigiwa mipasi hadi aibu.
Natunza hii commentNitashangaaa sana Chelsea akifungwa na Arsenal wakati Chelsea alimfunga Ac Milan nje ndani Tena na Clean sheet
Nitashangaaa Sanaa. Tena sana, kufungwa kwa Chelsea Tena nyumbani kwake na Arsenal.Natunza hii comment
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unaambiwa hii timu wanaumia vijana ili wazee wakateseke