Ndoto za mchana, hata kama GP akitimuliwa huyo hawezi kurudishwa kiitifaki na kiprotokaliTT natamani angepewa nafasi ya kurudi Chelsea aendeleze timu yetu kwasabb hao wachezaji wote ka wanunua yeye huyu average kochi ambaye hawezi kutoa sale na timu alio ijenga mwenyewe Brighton wanini?
Chelsea sio kama Arsnal ambayo hana hata champions league hata moja ndo timu za kujenga chalsea ni ya kuendeleza tu Timu yenye kila trophie eti ujenge tena ili ichukue nini tena View attachment 2410623
Takwimu haziongopiUmeongea points tupu. Sometime tukiweka pembeni ushabiki uchwara na kuchambua soka inapendeza sana. Wachezaji wamechangia na kocha naye anachangia kwa wachezaji kuwa wavivu. Mchezaji akicheza hivyo pale city atasugua benchi hata kama ana jina kubwa
Tuwe na mjadala huru. Hebu niambie unataka ampange mchezaji gani badala ya RLC. Tusiishie tu kuponda toa na suggestion vile unavyoona inafaaNi kweli mkuu na kubaliana na wewe tuna timu mbovu ukilinganisha na chalsea ya miaka ya nyuma ila hili sio sabb ya kutokua na kocha mwenye mzoefu na mbinu za kisasa, tuanze na kua na kocha mzuri ili tupate wachezaji wazuri.
Huyu wasasa hata ukimpa mbappe na Nayma na kareem benzima akili zake zitamtuma awake laftus cheek kiungoni ku wa feed mipira, mchezaji asio weza kutoa pass sahihi zaidi ya mita 15........na mwishowe ata mtowa Mbappe amweke Broja ndo kocha wetu huyu tulionea
Mkuu zakaria hatuja mjua sana ila huenda ni mzuri kuliko loftus cheek asie weza kupiga pass mbele pass zake ni nyuma tu....Tuwe na mjadala huru. Hebu niambie unataka ampange mchezaji gani badala ya RLC. Tusiishie tu kuponda toa na suggestion vile unavyoona inafaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake Chelsea wanaubonda kuliko hawa mazoba ,wanaume suruali .
Siangalii game ya Chelsea tena mpaka msimu huu uishe ,pumbafu kabisa hawa .mimi hata wangefugwa 3 nisingeumia sana kama wangecheza vizuri, concern hapa timu imecheza kama vile wamekusanywa mtaani wakaingizwa uwanjani..
Chelsea ina wachezaji wazuri lakini wengi ni majeruhi kwa iyo unaposema kakuta wachezaji wazuri kuliko Arteta alipoikuta Arsenal hebu acha kuwafikiria majeruhi ambao watachukua miezi miwili kuja kurudi uwanjani. Wabovu haumii tena siku iziUtofauti wa Arteta na Potter upo wazi
Ingawa alikuta the worst squad still he gave us the possible chance of winning, tukiwa na backline ya Mustafi, bellerin, Kolasinac & Sokratis aliwin FA cup mbele ya City & Chelsea.
Game yake ya tatu km kocha wa Arsenal Mikel Arteta ameshinda dhidi ya Man united at Emirates.
Graham potter na system anayotumia 4312 still haoneshi kuipa timu a possible chance of winning, Potter ana squad bora kuliko aliyorithi Mikel Arteta, kusema Chelsea inawachezaji wa hovyo ni jambo la kijinga, kocha apewe muda he is still learning.
Unamsemea huyu Zakaria aliyecheza mechi moja akaku impress halafu angemchezesha mechi nyingine akaharibu mngea za kumtukanaMkuu zakaria hatuja mjua sana ila huenda ni mzuri kuliko loftus cheek asie weza kupiga pass mbele pass zake ni nyuma tu....
Mawazo fake haya , game ngapi wanakuwepo hao na unafungwa Tena na Arsenal ambayo sio imara kuliko hii...Chelsea ina wachezaji wazuri lakini wengi ni majeruhi kwa iyo unaposema kakuta wachezaji wazuri kuliko Arteta alipoikuta Arsenal hebu acha kuwafikiria majeruhi ambao watachukua miezi miwili kuja kurudi uwanjani. Wabovu haumii tena siku izi
Mi naamini kama tungekua hata na Kante, Chilwell na James ile game nyie msingechomoka. Kocha mzuri ila ana wachezaji wa kawaida anahitaji kuwatransform waendelee kujituma kwa ziada

Wewe wasema Arse8Acha utoto, performance-wise Arsenal was a better side.
Xg determined during the match
Chelsea (0.24) 0-1 (2.38) Arsenal
RLC ni takataka , consistency Hana ,Bora zakaria aanze kupewa games za kutosha kupata confidence na experience ya epl labda anaweza onyesha kitu cha ziada .Unamsemea huyu Zakaria aliyecheza mechi moja akaku impress halafu angemchezesha mechi nyingine akaharibu mngea za kumtukana
Sent using Jamii Forums mobile app
Asipokuelewa na hapa basi si bure huyo Jamaa, labda atakuwa na kipaji cha ubishi.Wewe inaonesha unapenda ubishani, ila tambua Arteta pale Arsenal ana miaka miwili na miez 10 na Siku 15, alikuta kikos Cha wachezaji wavivu , aliweza kuchukua FA CUP na CS akiwafunga Chelsea,mancity na Liverpool .,akitumia 3-4-3, Lakini Siku zote since day one alisema anahitaji kuja kucheza 4-3-3 ,Baada ya kuwaondoa wachezaji wasioendana na mfumo wake ,
Had kufikia msimu uliopita round ya 2 alikuwa ameondoa wachezaji wengi asiowataka ,na round ya 2 akaanza rasmi kutumia 4-3-3/4-2-3-1
HATA POTTER kwa wachezaji waliopo Chelsea hawez kutoboa ,mchezaji Kama Sterling,Auba, Kai, Ziyech ,plus End of era ya kante
Since Aubameyangs departure,Arsenal have won 80 points in the league. Only City with 90 points have more
Nimekupa summary tu, Lakini Kuna kazi kubwa kaifanya kuanzia dressing room had kurudisha amsha amsha kwa mashabiki mechi za nyumbani .
View attachment 2410543
Arteta aliikuta Arse8 ikiwa na Majeruhi wangapi haswa kwa potential players?Utofauti wa Arteta na Potter upo wazi
Ingawa alikuta the worst squad still he gave us the possible chance of winning, tukiwa na backline ya Mustafi, bellerin, Kolasinac & Sokratis aliwin FA cup mbele ya City & Chelsea.
Game yake ya tatu km kocha wa Arsenal Mikel Arteta ameshinda dhidi ya Man united at Emirates.
Graham potter na system anayotumia 4312 still haoneshi kuipa timu a possible chance of winning, Potter ana squad bora kuliko aliyorithi Mikel Arteta, kusema Chelsea inawachezaji wa hovyo ni jambo la kijinga, kocha apewe muda he is still learning.
[emoji1787][emoji1787]Hili jukwaa la cheltako lina vilaza wengi sana Will Jr na Aaron Arsenal hebu fundisheni hizi takataka
kuna mtu anajisifu timu ya cheltako imepeleka wachezaji wengi wc akitaja hizo timu sasa na wachezaji wenyewe wote hawapati namba arsenal wala man city ni takataka kwa kwenda mbele