Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,787
- 2,233
Vip hao walio enda WC kuumia nao vipTunaenda siku 28 mapumziko ya world cup, sio wote wanaoenda world cup + wengine mwisho wa mwez huu wanarudi kutoka majeruhi.
Hii itampa fursa ya kuweka style yake, n tim inaenda abu dhab kwa ajili ya training wa kipindi hichi
Na Chelsea hakuna wachezaji wazalendo wamekwishaUsipate shida. Kamera zinammulika kuliko tunavyodhani. Ila naamini mambo mawili
GP hatafukuzwa
Pia Chelsea itafanya vizuri sana baada ya January 23
GP ni kocha mzuri anakosa wachezaji wazalendo
Ila sidhani kama itakuwa na impack kubwa Wachezaji muhimu hawatakuwepo hizo siku 28. Injuries wako 7 kati yao ni Kante na Kepa tu ndio wanajulikana watarudi lini. Wengine sita no return dateTunaenda siku 28 mapumziko ya world cup, sio wote wanaoenda world cup + wengine mwisho wa mwez huu wanarudi kutoka majeruhi.
Hii itampa fursa ya kuweka style yake, n tim inaenda abu dhab kwa ajili ya training wa kipindi hichi
Daah we jamaa umeamua kutusugulia kunguni au sio ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Cheusii Fc sasa hivi sio timu tena bali ni kigenge cha madalali/wapiga dili kipindi cha usajili.
Sijaona bado kikosi cha £300m kwenye hii timu, inasemekana kipindi cha usajili kuna watu walikua wanatoka na mifuko ya sandarusi utadhania ni wale maharamia wa skendo ya IPTL.
Reece JamesIla sidhani kama itakuwa na impack kubwa Wachezaji muhimu hawatakuwepo hizo siku 28. Injuries wako 7 kati yao ni Kante na Kepa tu ndio wanajulikana watarudi lini. Wengine sita no return date
Watakaokuwepo ni
Goalkeepers:
Kepa Arrizabalaga, majeruhi anarudi 26/12
Marcus Bettinelli
Defenders:
Reece James, majeruhi
Wesley Fofana, majeruhi
Trevoh Chalobah,
Marc Cucurella,
Ben Chilwell majeruhi
Midfielders:
Jorginho,
N'Golo Kante, majeruhi anarudi 18/02/2023
Ruben Loftus-Cheek, majeruhi
Carney Chukwuemeka majeruhi
Forwards:
Pierre-Emerick Aubameyang,
Armando Broja
Wataungana na
Lewis Hall
Omari Hutchinson
Bado mkala kichapoNaomba line up iwe hii
Formation 4-2-3-1
---------------------- Broja-----------------------
Mount ----------------- Cheek ------------- Galagher
-------Kovacic --------------------Jorginho--------
Lewis Hall -----Koulibally -----Chalobah ----- Azpilicueta
---------------------- Mendy-----------------------
AU
Formation 4-3-3
Mount------------- Broja-----------------Galagher
Kovacic -------------- Jorginho ------------- Cheek
Lewis Hall -----Koulibally -----Chalobah ----- Azpilicueta
---------------------- Mendy-----------------------
Tuanze kuchezesha academy maana timu nzima injuries , kuna siku niliongelea kuhusu gross incompetency kwenye hii timu ,ukianzia kwenye benchi ya ufundi , nidhamu ,recruitment mpaka medical , hizi injuries frequently na Kwa wakati mmoja ,hii ni hali ya kawaida ?Mechi niliyosikitika kufungwa ni ile ya Brighton tu japo timu zote nne walizotufunga ziko bora against timu mbovu tuliyonayo kwa sasa.
Hatuna hawa wachezaji uwanjani
James
Fofana
Kante
Chilwell
Kepa ile goli ya jana Kepa angetubeba
Hawa waliko wanatumika sana against their age
Silva
Azpi
Kou
Tunawategemea hawa mburura
Cheek
Pulisic
Kwa ufupi tuna timu iliyosambaratika
Kocha sio wa kumlaumu hata kidogo
Lawama ziende kwa Boehly. Anaendesha timu kibabe mno na hana mpangilio wowote. Angefanya ajira ya nafasi zilizowazi na kuwaajiri medical personel wazuri ili kupunguza injuries
Jana azpi na Cheek wametolewa kwa sababiu ya injuries. Why only Chelsea?
Oya hivi huyu Marcus Bettineli mbona sijawahi ona kacheza aisee ?Ila sidhani kama itakuwa na impack kubwa Wachezaji muhimu hawatakuwepo hizo siku 28. Injuries wako 7 kati yao ni Kante na Kepa tu ndio wanajulikana watarudi lini. Wengine sita no return date
Watakaokuwepo ni
Goalkeepers:
Kepa Arrizabalaga, majeruhi anarudi 26/12
Marcus Bettinelli
Defenders:
Reece James, majeruhi - No return date
Wesley Fofana, majeruhi- No return date
Trevoh Chalobah,
Marc Cucurella,
Ben Chilwell majeruhi- No return date
Midfielders:
Jorginho,
N'Golo Kante, majeruhi anarudi 18/02/2023
Ruben Loftus-Cheek, majeruhi- No return date
Carney Chukwuemeka majeruhi- No return date
Forwards:
Pierre-Emerick Aubameyang,
Armando Broja
Wataungana na
Lewis Hall
Omari Hutchinson
sasa yule CUCURELA nae ni mchezaji??anachojua ni kufuga minywele tu hakuna beki pale ni UHAROMashabiki wezangu poleni na matokeo ya jana tumeshindwa ki fala sana, lakini tutakuja tuelewane pole pole, hi sio vita usinichukie na mie sichukii mtu yoyote just express your views ( we agree to disagree) ndo democracy hiyo.
Oneni makosa makubwa ya kocha wenu potter katika mechi ya jana, unacheza na timu unao jua kwamba ina press kutoka kushoto na unaamua huyu kijana Hall natural position yake ni kati kati middle field na hana uzoefu wa kutosha unakuja kumueka wingback, (out position) mda wote koulibaly alikua kwenye pressure ku cover nafasi mbili ya Hall na ya kwake goli lilitokea hapo hapo loh.
baada kufungwa goli ndo anai giza natural and experienced leftback cucurela,
hapo ndo nashindwa kuelewa potter alikua ana subilia tufungwe ndo azibe huo mwanya?
Chalsea ni kubwa kwake haiwezi, hatuja wahi kupoteza hivi kama timu ndogo. Tusipo ondoa huyu mediocre kocha mapema tutumalizia kwemye chapioniship mwaka kesho.
C mlisema Alonso ni kono kono mbona cucurela anakimbia kasi sio konokono, Alonso kule barca kasha funga goli mbili Chelsea mipira mitatu hawaja funga hata goli moja, tatizo ni nini?Bora hata wangebaki Ermason na Alonso kuliko hako kachalii cucubroiler halafu kaoga balaa.
Makocha WA whatsap sasa hampitwi na Jambo[emoji23][emoji23][emoji23] hili swala la hall kuchezeshwa out of position hukuhoji Dhidi ya city jumatano kwenye carabao, Tuchel mwenyewe alishamchezesha kwenye hyo POS game moja ya FA ...au upewe timu nn Mzee[emoji23]Mashabiki wezangu poleni na matokeo ya jana tumeshindwa ki fala sana, lakini tutakuja tuelewane pole pole, hi sio vita usinichukie na mie sichukii mtu yoyote just express your views ( we agree to disagree) ndo democracy hiyo.
Oneni makosa makubwa ya kocha wenu potter katika mechi ya jana, unacheza na timu unao jua kwamba ina press kutoka kushoto na unaamua huyu kijana Hall natural position yake ni kati kati middle field na hana uzoefu wa kutosha unakuja kumueka wingback, (out position) mda wote koulibaly alikua kwenye pressure ku cover nafasi mbili ya Hall na ya kwake goli lilitokea hapo hapo loh.
baada kufungwa goli ndo anai giza natural and experienced leftback cucurela,
hapo ndo nashindwa kuelewa potter alikua ana subilia tufungwe ndo azibe huo mwanya?
Chalsea ni kubwa kwake haiwezi, hatuja wahi kupoteza hivi kama timu ndogo. Tusipo ondoa huyu mediocre kocha mapema tutumalizia kwemye chapioniship mwaka kesho.
Kulalamikia wachezaji ambao walisajiliwa juzi tu kwa pesa mob ni umama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2787][emoji2787]Wakati nyie mnaendelea kumlaumu kocha na wachezaji, binafsi naendelea kulaumu management ya club.
Swali:- Nani alishauri au kupendekeza wasajiliwe Fofana, Koulibaly, Zakaria, Auba, Cucurela na Sterling?
Swali:- Nani alishauri Lukaku na timo Werner waondolewe na Ziyech, Azip na Pulisic wakaachwa kikosini?
Yalikuwa na mapendekezo/Ushauri wa Tuchel, Marina, Peter Cech, Toddy, Scouting team au madalali wa mjini?
Kwa sababu Chelsea mbovu tuliyo nayo kwa sasa, tatizo limeanzia hapa kwenye maamuzi ya ovyo yaliyofanywa na management sokoni
Mall ni mzuri akicheza katikati ya kiwanja provided bado ni kijana chipukizi pale anapata msaada kwa ma strikers na wingbacks na kocha yoyote mwenye mikakati mzuri huwezi kuweka kijana mpya katika sehemu ya mashambulizi makali Newcastleinajulikana kwa right and left attacks, mkuu mimi sijasomea ukocha ni shabiki tu wapira tena wa chelsea na penda sana kujadili mpira na watu wasio kua na mihemuko hisia kali na makasriko its just a fun to relax and enjoye, nina professional yangu nilio somea,Makocha WA whatsap sasa hampitwi na Jambo[emoji23][emoji23][emoji23] hili swala la hall kuchezeshwa out of position hukuhoji Dhidi ya city jumatano kwenye carabao, Tuchel mwenyewe alishamchezesha kwenye hyo POS game moja ya FA ...au upewe timu nn Mzee[emoji23]
Mngemuacha akaja cityBora hata wangebaki Ermason na Alonso kuliko hako kachalii cucubroiler halafu kaoga balaa.
Medical utawalaumu tu, Nan asiyejua chillwel na James ni injury prone ,Nan asiyejua Fofana alikuwa injury karibu miezi 9 Kule leicester ,Tuanze kuchezesha academy maana timu nzima injuries , kuna siku niliongelea kuhusu gross incompetency kwenye hii timu ,ukianzia kwenye benchi ya ufundi , nidhamu ,recruitment mpaka medical , hizi injuries frequently na Kwa wakati mmoja ,hii ni hali ya kawaida ?