Tumpe mitatu anayotaka, hiki ni kifaa kweli kweli halafu tumlete Moises Caicedo acheze naye katika formation ya 4-2-3-1 tutatisha
4-2-3-1
-----------------------Datro Fofana------------------------
Sterling ---------------- Nkunku ----------------------Mount
------------ Caicedo -------------------- Kante ------------
Cucurella----------Koulibally -----------Silva -------- James
------------------------- Kepa -----------------------------
AU
3-4-2-1
-----------------------Datro Fofana------------------------
-----------Sterling------------------------ Nkunku ---------
Chilwell--------- Caicedo --------- Kante ----------- James
-------Cucurella------------Silva ------------ Fofana--------
------------------------- Kepa -----------------------------
Ni heri uspend €100M kwa Enzo Fernandes kuliko kwa yule Rice.
Enzo ni machine nashangaa tumekaa tunekomalia Rice
Leta Enzo n Koudao Kone katikat tutakuwa tushasolve
Chelsea ndio waajabu kuchukua wachezaji wa hovyo, kuna yule Kounde nilikua namuona World cup anaruka ruka tu. sikuona ni nini hasa chelsea walichokua wanatoana roho na baca.Wesley Fofana ni mchezaji wa ajabu sana, Too much injury prone
Hawa miamba wanapiga kazi, bei yao bado ndogo wanatufaa kuziba moja kwa moja pengo la Ngolo na Jorgonho.Achana na Caicedo, chukua mtu wa kazi Mac Allister ama Enzo Fernandez
Mimi nitaendelea kusema wachezaji wengi kuflop kwa 70% - 80% ni systems zetu ndizo zinasababisha ikianzia kwa kocha na kufuatia management. Undwaji wa system yenye harmony ndio sasa naona, fukuza fukuza makocha na kila kocha anakuja na system yake wachezaji wataacha kuflop!. Kwenye timu zao za Taifa wanafanya vizuri wakija Chelsea flop flop flopHaya mambo tulikuwa hatuyafanyi mda mrefu sana,
Kazi ilikuwa kupambana na majina makubwa au kukimbilia wachezaj wa hovyo wakina malang sarr, huku tukiacha vipaj vikienda kwa wapinzani.
Atleast now tunasajip player ambao bado wanakiu ya mafanikio and talented
Hopeful our recruitment team itaendelea kufanya na si kukaa kila siku tunapigania wachezaj wa bei ghal na mwisho wa siku wanaishia kuflopView attachment 2454710
Mac Allister sahiv Brighton hawawez muachia kwa bei chee na isotoshe ametoka kuongeza mkataba mwez wa 10 hapa, na Brighton ni wagumu kwenye negotiationAchana na Caicedo, chukua mtu wa kazi Mac Allister ama Enzo Fernandez
Nakubaliana na weeeMimi nitaendelea kusema wachezaji wengi kuflop kwa 70% - 80% ni systems zetu ndizo zinasababisha ikianzia kwa kocha na kufuatia management. Undwaji wa system yenye harmony ndio sasa naona, fukuza fukuza makocha na kila kocha anakuja na system yake wachezaji wataacha kuflop!. Kwenye timu zao za Taifa wanafanya vizuri wakija Chelsea flop flop flop
Kwanza tunatakiwa tuwe na kocha mwenye uwezo wa kudemand performance nzuri kwa wachezaji kama anavyofanya PEP na mwanafunzi wake Arteta. Pili kuwepo na system moja ya uchezaji kama ilivyo kwa Barcelona. akiajiriwa kocha anatakiwa afit in kwenye huo mfumo na falsafa yote
Plus kawaka hii world cup km wakimuuza basi si Kwa bei ya kitotoMac Allister sahiv Brighton hawawez muachia kwa bei chee na isotoshe ametoka kuongeza mkataba mwez wa 10 hapa, na Brighton ni wagumu kwenye negotiation
Hawa miamba wanapiga kazi, bei yao bado ndogo wanatufaa kuziba moja kwa moja pengo la Ngolo na Jorgonho.
Wangechukua wote wawili timu ingetulia
Deal lolote akiingilia Madrid hesabu maumivuWote wawili itakuwa ngumu sana labda kwa mmoja. Mbaya zaidi Madrid inawataka wote wawili
Real Madrid haijawahi kumtaka Mac Allister (ilikuwa ni uvumi tu na hadi Patricio Romano alikana) labda Moises Caisedo mwanzoni mwa Nov 2022 baada ya hapo Madrid wamekuwa kimya. Issue kubwa hapa Brighton hawawezi kumtoa hivi hivi mpaka mtu anyongwe shingo. Watadai chini ya Paundi mil 80 na hatoki mtu january hadi July 2023Wote wawili itakuwa ngumu sana labda kwa mmoja. Mbaya zaidi Madrid inawataka wote wawili
Kiungo ni neno pana Sana kuwa specific kiungo gani central midfielder, deep playmaker au Attack midfielder?Jina: Andrey Nascimento dos Santos
Utaifa: Brazil
Umri: Miaka 18
Nafasi: Kiungo
Bei: Paundi 20milioni tu
Klabu anayoichezea: Vasco Dagama
Mji; Rio De Janeiro
Ligi: Brazil
Anacheza zote so kusema kiungo ni sawa kabisaKiungo ni neno pana Sana kuwa specific kiungo gani central midfielder, deep playmaker au Attack midfielder?
Box 2 BoxKiungo ni neno pana Sana kuwa specific kiungo gani central midfielder, deep playmaker au Attack midfielder?
Sisi tunahitaji mno kiungo wa chini mkabaji sijui kwanini hatulioni Hili?Box 2 Box
Yupo kila sehemu ya uwanja kama Kante ndio maana ya Box to Box MidfielderBox 2 Box