Na Arsenal mmeshindwa kufikia dauMnapoteza muda tu
MCHEZAJI kila Siku analilia kuja Arsenal
MCHEZAJI alifanya interview akasema hata Madrid haendi
3 factors combined, mara chache makocha kukutana na hayo mazingira ya changamoto 3 kutokea kwa mara mojaKocha mzuri huwa hasuburi muda mrefu sana kusuka kikosi, bado nina wasiwasi na uwezo wa huyu kocha. Ana game 3 zijazo akipigwa zote aisee anasepeshwa hakutakuwa na mamna uwekeze kiasi hicho afu usicheze champions league.
Kila wanachofanya akifanikiwi ,ni laana ya Abramovich hiyo 🤣🤣🤣🤣🤣, mi nilishaliona hiliChelsea newcomer David Datro Fofana's boyhood club, Abidjan City, have written to FIFA to try and STOP his £8m move to Stamford Bridge - claiming his previous move to Molde was unlawful as his mother didn't sign a consent form for him to leave
Nilishaliongelea hili humu kuna jamaa akaniponda sana ,sio kawaida kabisa Chelsea kuwa na injuries nyingi hivi ,hilo nalo ni tatizo kubwa yaani nusu ya kikosi ni injuries msimu mzima ,what the f**k ,watumishi hewa ni nusu ya kikosi sasa unakuwa unafanya nini hapo ,unanunua wachezaji kuja kupasha moto benchi na kula mshahara wa bureKuna tetesi zinamuhusisha huyu mama kurudi darajani. Sijui ni kweli?
Hii ni kitokana na hali ya wachezaji kupata injuries tena wengi wa kikosi cha kwanza. Timu madaktarina makocha wa viungo nahisi hawafanyi kazi zao kisawasawa. View attachment 2472098View attachment 2472102
[emoji860] Graham Potter sends message to Chelsea fans who want him sacked
[emoji187] "There’s nothing you can do!!" [emoji838] #CFC
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Graham Potter sends message to Chelsea fans who want him sacked
"There’s nothing you can do!!" #CFC
Leo namfuatlia huyu Bashir Humphfreys kama atafaa kuwa backup wa James
potter anazingua hawa kina mount na gallag na jojino wa nn saaLeo namfuatlia huyu Bashir Humphfreys kama atafaa kuwa backup wa James
zakaria angeanza na chukuemekaushauri wako ni upi, isije kuwa unakosoa tu bila mbadala