Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tunaweza kuwa na team mbovu ila Potter hafai kuwa kocha tumedowngrade kumuappoint Potter.

Potter ni kama Moyes wa Everton.
 
Mimi nawaza tuendelee kufungwa tukifika kama nafasi ya 15 kuelekea 20 Boss anaweza kustuka na kumtia potter
 
Havetz-toa
Mount-toa
Azpi-toa
Chalobah-uza kabisa, yani wakati wenziye wanarudi Cobhan yeye anapaswa begi lake litatumwa akiwa kwenye yimu yake mpya
Chalobah hiv kuna timu yoyoye itakayomtaka, mchezaji mwenye uwezo mdogo vile.
 
Kurudi mpira nyuma kuna shida gani? hata Arsenal wanarudisha mpira nyuma na wanashinda mechi
Kucheza nyuma au sideway ikiwa ni sehemu ya mkakati sio mbaya, ila hii ya Chelsea ni back passes za mazoea, no strategy, no plan, utumbo mtupu.

Kuna clips walikuwa wakionyesha SupperSport ikionyesha jinsi Chelsea inavyoua big chances kule mbele kwa sidewasy passes, back passes na mcheza kuamua kukaa na mpira bila plan au kwa kufanya poor decisions
 
Goli la pili ni la KEPA jamani, anayebisha aje hapa
 
TUNAJENGA TIMU JAMANI
SAFARI NI NDEFU
ASIYETAKA ATAFUTE TIMU NYINGINE HARAKA
Nishaanza kumdoubt Potter.

Hakuna motivation yoyote anayowapa wachezaj.

Sidhan kama ni mtu sahihi kwenye hii project. You have to win upate imani.

Tunakikosi kipana hata kama kinashida ila tunaonekana wabov kupita kiasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…