juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,466
Anazingua, sisi tulio huku tunaona shida ni kiungo na rb badala watatue hilo wanaliacha.Boehly naona anataka kuweka kikosi kipya, sheria ingeruhusu angewatimua wote walikuwa kizazi cha Abramovich, Marina na TT
Ila czan km anataka kuitoa 100mil yote man...I think n Mwendo wa add ons mafungu mpk ifike 100mil ...kumbuka dili la Enzo benfica walitaka RC yote 120mil Ila Sisi tulitaka kutoa mafungu dili likawa gumu...so hata Kwa hii dili la mudryk itakuwa mafungu Tu...Anazingua, sisi tulio huku tunaona shida ni kiungo na rb badala watatue hilo wanaliacha.
Hatujajifunza kwa yale yaliotokea summer?,
Umekataa kubid 100 kwa enzo then unabid 100 kwa mudryk ambae anataka kujiunga Arsenal ni ukosefu wa akili.
Yani hata akija itakuwa ni kwa sabab ya hela na si passion aliyonayo.
Hata kama ni installement, ila tunashida ya kiungo.Ila czan km anataka kuitoa 100mil yote man...I think n Mwendo wa add ons mafungu mpk ifike 100mil ...kumbuka dili la Enzo benfica walitaka RC yote 120mil Ila Sisi tulitaka kutoa mafungu dili likawa gumu...so hata Kwa hii dili la mudryk itakuwa mafungu Tu...
Kwenye kiungo tutapewa suprise. We subiri tuHata kama ni installement, ila tunashida ya kiungo.
Better uhijack deal la mchezaj ambae yuko desperate kujiunga na nyie kama tulivyofanya kwa Willian kuliko kuhijack deal kwa mchezaj ambae anataka kujiunha team nyingine.
Hii ni kama Raphinha version 2.0
Tulikubaliana na Leeds ila player stil akawa anataka kujiunga na Barce
@lembu je tunamuhitaji Mudryk????Kwenye kiungo tutapewa suprise. We subiri tu
Tunamuhitaji Mykhylo na hao wengine timu inasukwa upya wala sio kukarabati. Tusubiri yajayo yanafurahisha zaidi@lembu je tunamuhitaji Mudryk????
Taarifa tu ikitoka The Athletic huwa tayar hiyo, katika source ambazo huwa sina wasiwasi nazo ni hii na DailyTelegraf ya kina Mat law na kidogo The TimesAthletic wanasema Chelsea wa.ekubali kutoa mil 100
View attachment 2481259
Hii inamaana Pulisic anaondoka this January same to ziyech kama suitable suitor akipatikanaTunamuhitaji Mykhylo na hao wengine timu inasukwa upya wala sio kukarabati. Tusubiri yajayo yanafurahisha zaidi
Huyo lazima atakuwa mmasai au jaluoSema hivi hamjawahi kumaliza ligi nafasi ya 10. Sio kushika nafasi ya 10.
Anyways mliwezaje nyie kupitia form mbovu, timu kuwa jamvi la wageni
Changamoto ya enzo ni Benfica kutala €120M kwa wakat mmoja hapo ndio shida ilipoKuna taarifa zinadai kuwa Enzo na Moises bado ni target wa Chelsea
Bado deals zitafanyika Tu mzeeHata kama ni installement, ila tunashida ya kiungo.
Better uhijack deal la mchezaj ambae yuko desperate kujiunga na nyie kama tulivyofanya kwa Willian kuliko kuhijack deal kwa mchezaj ambae anataka kujiunha team nyingine.
Hii ni kama Raphinha version 2.0
Tulikubaliana na Leeds ila player stil akawa anataka kujiunga na Barce
Ngoja tuoneBado deals zitafanyika Tu mzee