Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,074
- 27,490
Wachezaji kama Ziyech ni virusi vikubwa wao wanataka kucheza timu iwazunguke. Nilikua namuona hata timu ya taifa kipindi cha WC yan anajisikia sikia muda woteYaani umenena mkuu
Pulisic uwexo wake ni hapo
Ukitaka kujua fuatikia historia yake
Hata akiimprove haitakuwa for wonders
Ziyech ana uwexo mkubwa ila kiburi na negativity imemharibu. Alipokuja Chelsea alifikiri atafanywa mfalme kama kwenye kile kitimu kidogo alichotokea. Sasa alipokula benchi ya mara kwa mara akapandisha negativity dhidi ya kocha na timu
Sasa hivi Arseanal ni fitina na umbea tu ndio mnafanya, tunamchukua Deckan Rice na popote mtakapokwenda tumoKaka unaambiwa sasa hivi tunaojua kupiga danadana tusizurule hovyo,
Tajiri miruzi anazoa woteeeeee.....muda huu anakomaa na Michel Antonio huko Hummers,
Wagonga nyundo wanasema kama Mudryk wametoa 100m basi kwa Antonio si chini ya 150m ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unhappy[emoji19]Arenal kumbe walitoa ofa kwenye addons ambazo haziwezekani kufikia kwa Mykhailo Mudryk
Chelsea sisi tulipoingia pamoaj na kuongeza kidogo pale Arsenal walipoishia lakini pia tukatoa ofa nyepesi nyepesi ambazo ni rahisi kufikia kama kushinda EPL, Kushinda UEFA nk
Wao waliweka Ballon d'Or ambayo ni ngumu kufikiwa
Cheki CEO wa Shaktar anavyofunguka
View attachment 2484726
Mjifunze negotiations vizuriUnhappy[emoji19]
Picha inaongea
Kukosa kufuzu kwa mashindano yoyote ya UEFA kunaweza kumaanisha kuwa Chelsea inaweza Kuwa waangalifu katika dirisha la usajili la kiangazi 2023.Kuna mtaalam mmoja wa Fedha ametahadharisha kuwa Chelsea isipofaulu UEFA msimu ujao, haya matumizi makubwa ya usajili inaweza kuja ku back fire na kukinzana na FFP rules
Haya sasa, kazi ipo
Hamna kitu mule, jitu zito kama furushi la viazi?Wewe labda huangalii mpira, kamfatilie kuanzia Bundesliga ana goli 10+ ,
Anajua ku dribble na kukaa na mpira na anajua kufunga
Katika mpira ogopa Sana mchezaji anayeweza kukaa na mpira ,
Naomba huyu jamaa msimpate na asije EPL , huyo Ni balaa jingine
EPL si sawa na bundles Liga, kumbuka hizi statistics hata Timo Werner aliletwa nazo Chelsea na uliona kilichompata.Baada ya Nkunku yeye ndie anafuatia kwa ufungaji Bundesliga
Mechi 15 magoli 10 na 3 assist
Katika mechi 15 ya ligi kajihusisha na magoli 13
DFB Pokal mechi 2 goli 3 na assist 1
Katika mechi 2 za DFB Pokal kajihusisha na magoli 4
Jumla ya mashindano yote Mechi 17, goli 13, assists 4
Katika mechi 17 ya mashindano yote kajihusisha na magoli 17
Kwenye kushoot anazo shots 55 zinazomfanya kuwa wa kwanza Bundesliga na goal attepmts wa pili. Ana urefu wa 1.92M na hivyo kumfanya kuwa mzuri sana kwenye kuwania mipira ya juu
Huyo sio mchezaji wa kumbeza hata kidogo
WC asingeweza kucheza mechi nyingi mbele ya Mbape, Griezman na Olivier Giroud. Huyo wa mwisho kocha anampenda ile mbaya. Magoli mawili ya fainali ya penalti ila goli la Mbape la pili, Thuram ndie alitoa assists
Kama umefuatlia mechi za France Thuram alipocheza alikuwa ni Threat
Advantage aliyo nayo Thuram zaidi ya maforward tulio nao ni pace na nguvu na hizo nguvu zinamfanya akae na mpira zaidi. Yeye anacheza no. 10, CAM na No. 9 (striker)
Nafikiri scouting team kuna kitu wameona. Adavantege kub wa yake pia anauzwa wakati mkataba wake unaisha kwa hiyo b ei yake sio kubwa. Huyo angesaini mkataba halafu ndio sisi tukaingia pale tungepigwa sio chini ya mil 60
Flop ni individual case haihusiani na ligi alikotoak mchezaji, wako wanoatoka huko wakaja kufanya vizuri na wako waliotoka EPL wakiwa wazuri wakaenda kuflop kwenye hizo ligi unazozizarau.EPL si sawa na bundles Liga, kumbuka hizi statistics hata Timo Werner aliletwa nazo Chelsea na uliona kilichompata.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Werner sio kama chance alikuwa hapat, chance nyingi amepata ila ni yeye tu, jinsi unavyopoteza chance ndio confidence yako inapotea na unakuwa flop.EPL si sawa na bundles Liga, kumbuka hizi statistics hata Timo Werner aliletwa nazo Chelsea na uliona kilichompata.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app