Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,539
- 3,861
Ukweli huu, Chelsea wamerundika wachezaji haieleweki wanachezajeTimu haina mfumo unaoeleweka, unaposajili mchezaji inabidi ujue mchezaji anaenda kucheza mfumo gani? Vinginevyo utamisplofile wachezaji mwisho wa siku 10th.
Unaongea lugha gani? Unaweza kuwa na pount hapa ila hiyo "utamisprofile" haijawekwa kwenye kamusi bado.Timu haina mfumo unaoeleweka, unaposajili mchezaji inabidi ujue mchezaji anaenda kucheza mfumo gani? Vinginevyo utamisplofile wachezaji mwisho wa siku 10th.
Wakati wa TT na huko nyuma walikuwa wanasajili kiholela au walikuwa hawajengi mfumo au mifumo inayoelewekaUkweli huu, Chelsea wamerundika wachezaji haieleweki wanachezaje
Ndo maana Kila mechi mfumo mpya ,wachezaji leo winga kesho Viungo
Hata mudrky Sion akitoboa tutaona machachali mengi na moment za hapa na pale
Wako 9Sisi injury zinatucost hata hao wachezaji wengi tuliowasajili ni kutokana na kuwa na injuries nyingi ukiacha na kuwa na project.
List ya injuries wetu
1.James
2.Kante
3.kovacic
4.Benchilwel
5.Pulisic
6.Zakaria
7.sterling
Hawa ni wachezaji wetu na wote wapo hospital ulitegemea tuwe kwenye nafasi gani? Wing wa kulia na kushoto zimeumia Pulisic na sterling upande wa Pulisic hatuna mbadala atlest kwa sterling kuna Ziyech , ukija upande wa james hatuna mbadala kabisa zaidi ya kuwa na babu Alzipilicueta, kiungo Cha Kati amebaki Jorginho hakuna option na akiumia huyo kitachofanyika ni kubadilisha wachezaji kwenye nafasi zao halisi ili wacheze kiungo Cha Kati kwa namna hiii ndio maana tumeingia sokoni na target yetu ya mwisho ni kusajili kiungo Cha Kati. Na sisi tiny yetu imejenga na hawa wachezaji watatu wakiumia hao tu chelsea lazima uyumbe Sana na hao ndio waliochangia kututoa kwenye reli ya kuwania ubingwa msimu ulipita baada ya kupata injury ni Reece James, Ngolo Kante na Benchillwel ndio maana boss anasajili kwenye wachezaji wamaana kwenye nafasi zao ili hata wakiumia kusiwe na daraja kubwa Kati yao na wao wapya moto uwe ule ule
Maumivu na wivu wa kuwapoteza hao wachezaji bado inawapelekesha eh!Danjuma scored before Felix en mudryk🫣🫣
Cheltako zoa zoa fc
sawa mtabiri, naona mzimu wa kukataliwa na mudryk unaendelea kuwatafuna.Ukweli huu, Chelsea wamerundika wachezaji haieleweki wanachezaje
Ndo maana Kila mechi mfumo mpya ,wachezaji leo winga kesho Viungo
Hata mudrky Sion akitoboa tutaona machachali mengi na moment za hapa na pale
Kwa hiyo wewe unajua kuliko Todd na kina Vivell?Timu haina mfumo unaoeleweka, unaposajili mchezaji inabidi ujue mchezaji anaenda kucheza mfumo gani? Vinginevyo utamisplofile wachezaji mwisho wa siku 10th.
huyu akirudi tumpeleke mkopo Chapionship hadi mkataba wake uishe
Mpaka mchezaji anasajiliwa timu flan ameshaelezewa mambo mengi kuhusu hyo timu mpya ikiwemo project Ya timu, mfumo atakaocheza pmj na vitu vingine vichache km hvyo...wewe Ndugu yetu upo zako matombo na unajifanya unajua zaidi ya kina vivell na potter unaona atamisplofile cjui ndo kilugha gan hicho [emoji23][emoji23][emoji23]Timu haina mfumo unaoeleweka, unaposajili mchezaji inabidi ujue mchezaji anaenda kucheza mfumo gani? Vinginevyo utamisplofile wachezaji mwisho wa siku 10th.
Weka Ngolo na Makelele, Sub EssienNgolo Kante alinunuliwa £32m kutoka Leicester City dirisha la kiangazi 2016, Je huyu Kante leo angekuwa bado Leicester city na ana miaka 21 unafikiri wangtuuzia paundi ngapi?
Makelele na Kante best partnership ukuta wa Berlin, Makelele ana stick deeper kuzuia mashambulizi huku Kante akifanya doria Uwanja mzima wa kukata visikiKama ingewezekana kuwarudisha nyuma ya wakati wakacheza pivot CM wawili pale katikati penye shida ungependekeza nani na nani katika hawa miamba
🤣🤣🤣🤣🤣Mpaka mchezaji anasajiliwa timu flan ameshaelezewa mambo mengi kuhusu hyo timu mpya ikiwemo project Ya timu, mfumo atakaocheza pmj na vitu vingine vichache km hvyo...wewe Ndugu yetu upo zako matombo na unajifanya unajua zaidi ya kina vivell na potter unaona atamisplofile cjui ndo kilugha gan hicho [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app