mi naona chelsea watoe mzigo wote kisha na wao leo wauze ili walau kubalance vitabu - naona kuwa wachezaji wawili - mmoja Arsenal na Mwingine PSGIshu sio ku-active release clause yake, ishu ipo kwenye muundo wa malipo.
The BLUES inataka kulipa hiyo 120M kwa installments ili wasiingie kwenye rungu la FFP.
Kwamba watangulize kwanza 60M inayobaki ilipwe kidogo kidogo kila mwaka.
Na wataongeza 10M nyingine (kumaintain value of money kwa kulipa kwa mafungu)
Rui Costa anataka ilipwe yote kwa pamoja 120M. Hataki mafungu mafungu.
Hapo ndipo maongezi yalipo sasa (Muundo wa malipo)
juan david yuko sahihi kabisa, tatizo la Rui Costa anataka pesa nyingi upfront, au RC yote, kwa sababu muda hatuna, ile mil 10 waliyoongeza waondoe halafu walipe RC yote. Wao walishatoa hayo masharti tangu mwanzoWawape tu Eur 120m badala ya 130m. End of storyIshu sio ku-active release clause yake, ishu ipo kwenye muundo wa malipo.
The BLUES inataka kulipa hiyo 120M kwa installments ili wasiingie kwenye rungu la FFP.
Watangulize kwanza 60M inayobaki ilipwe kidogo kidogo kila mwaka.
Na wataongeza 10M nyingine (kumaintain value of money kwa kulipa kwa mafungu)
Rui Costa anataka ilipwe yote kwa pamoja 120M. Hataki mafungu mafungu.
Hapo ndipo maongezi yalipo sasa (Muundo wa malipo)
Arteta anmpenda sana Jorginho, yeye anajua naman ya kumtumia. Kuna uhakika ataondoka na kutuachia hata pesa 10mZiyech - Mkopo Psg
Gallagher - Amekataa kuuzwa Everton
Jorgnho - 50/50 na ni mauzo ya pesa kiduchu, kumbuka June anaondoka bure
Good news
hizo 120m zinagawanywa kwenye mkataba mrefu haina madharaNa hatuwezi kulipa yote 120M kukwepa rungu la FFP.
Tukilipa 120 kwa pamoja inabidi Enzo tumpe mkataba wa zaidi ya miaka 10.
Naelewa hilo nimesema endapo hilo la muundo wa malipo likishindikana option ya mwisho itakuwa ni kuactivate release clause yake japo ningumu kulipa pesa yote at once.Ishu sio ku-active release clause yake, ishu ipo kwenye muundo wa malipo.
The BLUES inataka kulipa hiyo 120M kwa installments ili wasiingie kwenye rungu la FFP.
Watangulize kwanza 60M inayobaki ilipwe kidogo kidogo kila mwaka.
Na wataongeza 10M nyingine (kumaintain value of money kwa kulipa kwa mafungu)
Rui Costa anataka ilipwe yote kwa pamoja 120M. Hataki mafungu mafungu.
Hapo ndipo msingi wa maongezi yalipo sasa (Muundo wa malipo)
Enzo ni suala la muda Tu huoni tumemuacha joginho.juan david yuko sahihi kabisa, tatizo la Rui Costa anataka pesa nyingi upfront, au RC yote, kwa sababu muda hatuna, ile mil 10 waliyoongeza waondoe halafu walipe RC yote. Wao walishatoa hayo masharti tangu mwanzoWawape tu Eur 120m badala ya 130m. End of story
Natumai iwe hivyo ila Rui Costa anafanya maisha yawe magumuEnzo ni suala la muda Tu huoni tumemuacha joginho.
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Nahisi Havertz or Felix huenda wakawa wapiga penaltKwa hiyo sasa mpiga penalti atakuwa nani
Hivi hao wataalamu wa kupiga penalti, kupiga kona, free kicks huwa wanapewa posho maalum?
Taarifa za jana zinasema yupo anatafutiwa kibali cha kaziSantos bado hajapata vibali vya kazi England.
Kwa caciedoIssue ya Enzo inaoneka imekuwa ngumu. Unless tuactivate Release Clause na sioni hili tukilifanya FFP POV
Endapo ikishindikana naona kabisa tukigeukia plan B