Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hata mimi sidhani kama huyo Enzo ni wa kununuliwa kwa 120 .hell no .Ni kwamba hatuna scout wa kufanya mapping ipasavyo + uhaba wa talents so hata wachezaji wa kawaida nao wanapaishwa na kuuzwa bei kubwa isiyo endana na uhalisia
 
Nilikuwa naangalia SkySport wanasema TV moja ya Lisbon wanadai ni kweli Enzo ameshafanya Medical kule kule L:isbon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…