Ongeza sauti, sikusikii naona unapayuka payuka tu, hata mada uliyo quote haiendani kabisa na unachokiongeaVipi ENZO hakucheza??[emoji1787][emoji1787]Murdyk hakucheza??[emoji1787][emoji1787]Mpira wa kuuongolea JF sijui press,sijui speed unauweza sana,lakini uwanjani mataputapu tu[emoji1787][emoji1787]
Hata Auba angekuwa mwingereza angecheza kila siku na UEFA asingeondolewaKinachonichosha kwa Potter ni kukumbatia wachezaj ambao wanacheza vibaya
Havertz n Mount week in week out wanacheza vibaya ila cha ajabu bado wataendelea kuanza.
1.. bKwa nini wengine wakicheza vibaya anawaweka bench ila hao wawili utasema wanapicha zake za magendo[emoji16]
Kwa dakik 15 alizocheza Datro Fofana kafanya+ mengi kuliko dakika 90 alizocheza havertz.
Potter soon watu wataanza kutokuwa na imani nae kama ataendelea hivi hiv kuwa clueless na kukumbatia zile takatak 2
Usema kweli kwa game ya jana nilitegemea kuona zaidi ya tuliyoyaona maana tulikuwa na siku 13 tulikuwa hatuna game yoyote.Makubwa mkuu na wewe umeliona sasa hivi. Ulikua unantetea sana. Wakati nawaeleza kwamba huyu jama hawezi ku handle Chalsea
Kwahiyo ile mechi na Liverpool, fitness ilikuwepo.. jana ndo ikapotea😂Invyoelekea Mudryk aliondolewa jana kwa sababu tu ya match fitness, kulingana na kauli ya kocha huko nyuma anatakiwa kucheza dakika chache hadi fitness yake irudi kwa sababu hakucheza tangu Nov 2022.
Nimesema haya kwa sababu hakuna taarifa zozote za majeruhi ya Mudryk
Kweli kabisa, yani Auba kama angekuwa ni mwingireza hata acheze vibaya bado angepangwa na wala asingeondolewa kwenye kikosi cha UEFA.Hata Auba angekuwa mwingereza angecheza kila siku na UEFA asingeondolewa
Invyoelekea Mudryk aliondolewa jana kwa sababu tu ya match fitness, kulingana na kauli ya kocha huko nyuma anatakiwa kucheza dakika chache hadi fitness yake irudi kwa sababu hakucheza tangu Nov 2022.
Nimesema haya kwa sababu hakuna taarifa zozote za majeruhi ya Mudryk
Maneno matatu kwa Enzo
Overhyped
Overpayed
Overrated
Hiyo ni moja lakini pia kuna conference ya Potter nimesikia sasahivi alikuwa na Cold, mafua kwa huku kwetuKwahiyo ile mechi na Liverpool, fitness ilikuwepo.. jana ndo ikapotea😂
Potter: “Mudryk had a cold”Kwahiyo ile mechi na Liverpool, fitness ilikuwepo.. jana ndo ikapotea[emoji23]
Kwenye Youtube mashabiki wanawalalamikia wachezaji wanne hiviKweli kabisa, yani Auba kama angekuwa ni mwingireza hata acheze vibaya bado angepangwa na wala asingeondolewa kwenye kikosi cha UEFA.
Huwa nasema hiv Mount ndio star wa team ambae hapaswi kuwekwa bench.
Hajaanza kucheza vibaya leo, bali imekuwa kila gameweek.
Game ya mwisho ambaho hakucheza ilikuwa dhid ya city (league) na tulikuwa vizuri,
Ukiniambia mpk sasa kipi kinachomfanya Potter asimtumie Datro Fofana, sielewi maana mchezaj kila anapoingia anaonyesha kitu,
Jana kwa dakika 15 alizocheza kawapa tough game wale wakina Ream na Tete,
Ni tofauti na havertz miguu imekaa kama mlenda,
Oscar alikuwa soft ila hakuwa kama hivi Havertz.
Utaona wiki ijayo Mount na Havertz bado wanaanza
Potter: “Mudryk had a cold”Invyoelekea Mudryk aliondolewa jana kwa sababu tu ya match fitness, kulingana na kauli ya kocha huko nyuma anatakiwa kucheza dakika chache hadi fitness yake irudi kwa sababu hakucheza tangu Nov 2022.
Nimesema haya kwa sababu hakuna taarifa zozote za majeruhi ya Mudryk
Kuna conference ya Potter nimesikia sasahivi alikuwa na Cold, mafua kwa huku kwetu
spot on[emoji817]Jana mini niliona kwamba Mount alibana nafasi ya Mudryk hivyo kumuachia nafasi ndogo ya Mud kujiachia, pasi zote za Mud alikuwa anachukua Mount ndio maana ule upande wa Mud hatukuwa hatari kivile.
OK nakusamehe bure kwa sababu ninyi ni wale wa kuambia na kukimbilia kwenye mitandao kutapikaManeno matatu kwa Enzo
Overhyped
Overpayed
Overrated
Mashabiki wa kingereza watawataja wote ila hawawez mtaja Mount utafkiri mount ndio face ya club, atleast now kule twitter sahiv washaanza mlalamikia moumt na wanampiga spana vizuri tu na kumlalamikia potter why anaendelea kumpanga mtu ambae performance yake ni mbov hiv sasaKwenye Youtube mashabiki wanawalalamikia wachezaji wanne hivi
Wanasema hao wachezaji hawakutakiwa kuanza kabisa
- Ziyech
- Gallagher
- Cucurella na
- Havertz
[emoji23]Tunao wachezaji wengi sio kama ninyi ndorobo wa kuunga unga
Bado wa majeruhi wote hawajaja