Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,396
- 6,025
Thiago Silva ni Mzee lakini hakuna Beki yeyote pale Mwantesa Utd anayefikia kaliba yake kiubora.Unategemea ataenda wapi na uzee ule?
Nibora andelee kula penshen yake tu hapo hapo.
Huku ni sehemu nzuri sana ya kupunguza stress, tunawapenda wageniKama kawaida yenu
Mtachezea kichapo
Juzi kati ulipotelea wapi we Arsepimbi baada ya kula kichapo toka kwa Everton?Tuwaambie mechi za mchana zinakuaje au tuwaache kwanza!?[emoji23]
Labda hafanyi vizuri mazoeziniSijui kwa nini hataki kumuanzisha Datro Fofana walau ampunguzie pressure Kai. Havertz kuanza kila mechi pia inamfanya asishtuke kama kuna mbadala wake na itamuharibia sana.
Anyways our starting eleven hiyoView attachment 2513637
.Namtetea Potter kwa Cucurela over Chilwell. Chilwell akitoka majeruhi huwa anachelewa kurudi kwenye form tofauti na akina James na Kante
Ila kwa RLC sijui kaona nini
West ham anakufa,Game za mchana huwa hazitabiriki[emoji16] huwa naziogopa sana game za mapema, huwa zinamatokeo flani hiv usiyoyategemea
We Jamaa kuna sehemu nimewakuta Arsepimbi wamekuundia kamati ya roho mbaya kukupoteza wakidai huwa huwapumzishi kabisa kwenye uzi wao wa Arse8[emoji16].Leo ni mwendo wa kugongwa nyundo za kichwa tu mpaka akili iwakae sawa.
[emoji23]Huku ni sehemu nzuri sana ya kupunguza stress, tunawapenda wageni