Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ili mudryk ainfluence game mda wote inabidi LB awe Chilwell or Hall, LB ambae anawaza kushambulia hapo ndio watu wataona mudryk vizur.


Mara zote alizokuwa na mpira alikuwa anahatar shida upande wake ule Cucu hakufanya mikimbio utasema alipigwa stop .

Ajifunze kwa James, madueke anapokuwa anampira unakuta tayar james ashatafuta nafas .
 
Naangalia mechi ya Bayern Munich vs Bochum, kiukweli Chelsea tuna zaidi ya miaka miwili au mitatu ndipo tutaweza kuwa vizuri.

Timu zina;

1. Winning mentality(Attitude).

2. Tactics.

3. Techniques.

4. Kasi.

5. Consistency.

6. Morali.

7. Zinakaba, zinashambulia na zinarudi kuzuia kwa pamoja.

HP tumepigwa Wazee [emoji16][emoji119]


Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Sub badala zije ziongeze nguvu ndio kwanza zikaja kuharibu kila kitu.


Zile sub za Potter[emoji706][emoji706][emoji706] ni kama kujipiga risasi

Hii team ni kubwa sana kwa Potter,.

Potter mda sio mrefu watu watamkataa.
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya Potter na manager wengine kwenye Touchline.

Potter ni kama Bielsa kwenye touchline.

Ukiangalia wakina Klop,Arteta,Pep wanavyohangaika kutoa maelekezo kwenye touchline ila mwanetu Potter anasubir HT or FT.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…