Manure wako kila sehemu, wabaya wakubwa wa Chelsea. Hata VAR hawakuicheki kwa msisitizoHata bila kuchambuliwa ile siku yoyote ile, ile ni penalt.
Halafu ninyi sijui kama mnaona udhaifu mkubwa wa Cucurela afalia Alonso. Akienda mbele kidogo anagandia huko huko na ndio maana Westaham walifanya mashabulizi sana kupitia kwake hata goli la Emerson lilianzia kwa Cuc baada ya kupoteza mpira kijinga tuIli mudryk ainfluence game mda wote inabidi LB awe Chilwell or Hall, LB ambae anawaza kushambulia hapo ndio watu wataona mudryk vizur.
Mara zote alizokuwa na mpira alikuwa anahatar shida upande wake ule Cucu hakufanya mikimbio utasema alipigwa stop .
Ajifunze kwa James, madueke anapokuwa anampira unakuta tayar james ashatafuta nafas .
Hata hiyo HT sijaona inluence yake, timu inarudi inaendelea kucheza kimlenda mlenda kama FHKuna tofauti kubwa sana kati ya Potter na manager wengine kwenye Touchline.
Potter ni kama Bielsa kwenye touchline.
Ukiangalia wakina Klop,Arteta,Pep wanavyohangaika kutoa maelekezo kwenye touchline ila mwanetu Potter anasubir HT or FT.
Au alikuwa anaokoaMount hapa hakumuona Ziyech????View attachment 2514175
Hata anayedhamiria kuzia kwa mkono atajifanya anaangukaView attachment 2514019
Muwe basi mnaulizaga maswali y maana, mwisho wa siku unaonekana kiazi. Mikono huwa inafichwa hivyo ukiwa kwnye penalt box
Kama Willian alivyotufungaDah ! Emerson beki wetu wa zamani katufunga
Yule Cucu hata akipewa apige penalty anaweza geuka nyuma ili kumtafuta Silva, Badiashile au Kepa. Mjaribuni siku moja muoneHalafu kununuliwa pound ,65 ,shenzy ,bora tungenunua Ake mchezaji wetu wa zamani kwa 40 atoest ilikuwa reasonable
Halafu anataka mshahara mkubwaMount hapa hakumuona Ziyech????View attachment 2514175
Inawezekana ikawa ni ngumu na tofauti tunavyoona ...pia inategemea na mchezaji pia[emoji23] hapo kama n modric au kina fabregas tiyari assistMount hapa hakumuona Ziyech????View attachment 2514175
Kama tusingemsajili sijui tungekuwa ktk Hali gani na hawa midfielders wetu wenye injuries
Potter alishatoa sababu za kumtumia Havertz kwenye no 9 role wakati ule tulipocheza na Bonamouth tukawafunga 2-0 ambapo Havertz alifunga na kutoa assistKocha nashindwa hata kumuelewa hivi sijui kwanini anamn'gan'gania Kai havert? ukiachilia performance mbovu anayoonesha Kai havert kocha anashindwa hata kutumia simple logic kwamba kwenye michuano ya UEFA hayupo Auba wala D.Fofana striker pekee ni huyu Kai Cha ajabu hata huku kwenye Epl still anamtumia huyo huyo Kai kwanini asitoe nafasi kwa Auba au Fofana ambao hawatumii kwenye michuano ya UEFA champions league