Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Upo sahihi kabisa tuwape nafasi hawa wachezaji tuliokuwa nao kwanza kuliko kutupa pesa tena kwa striker
Shida iliyokuwepo ni kwa Potter kutowapa chance hawa wachezaji hasa kwa Fofana
 
Upo sahihi kabisa tuwape nafasi hawa wachezaji tuliokuwa nao kwanza kuliko kutupa pesa tena kwa striker
Shida iliyokuwepo ni kwa Potter kutowapa chance hawa wachezaji hasa kwa Fofana
Fofana ni kipaji na anakitu anacho, ila nashangaa sana sijui kwa nini hapewi nafasi, hata kutokea sub nafasi hapewi tunakalia kumkomalia yule mjeruman aliyekaa kama mlenda
 
Boehly mbona anawapenda sana masupastaa. Sasa Neymar wa nini, kuleta mzigo mwingine mkubwa badala ya kubaki na vijana wanaochipukia?
Neymar sio mzigo wewe,Team gn haimtk neymar duniani,
Ili ufanikiwe kwenye hayo makombe unahitaji wachezaji wazoefu kama huyo neymar
 
Neymar sio mzigo wewe,Team gn haimtk neymar duniani,
Ili ufanikiwe kwenye hayo makombe unahitaji wachezaji wazoefu kama huyo neymar
Mzigo nina maana umri na mshahara vs end product
Umri: 31yo
Mshahara: USD 700K/week
Nafasi anazocheza tayari tumejaza wachezaji hapo
Yuko Mudryk, Sterling,
Stats zake kwa miaka mitatu goal involvment hairidhishi sana
2019 (22)
2020 (19)
2021 (14)
2022 (19)

Kwa sifa hizo hapo juu, atakuja kutupotezea muda tu
Kama tunajenga nyumba imara ya nini kuwachukua hao
ambao wanachowaza sasa hivi ni pension tu
 
Lukaku ni wastage of time HAPANA [emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…