Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 8,365
- 16,444
Utarundikia lawama kila Mchezaji lakini nani anayesababisha Mchezaji kukaba vizuri, kuchangia magoli na kutonyang'anywa mipira hovyo kama si Kocha? [emoji1787]Kipindi cha TT angalau James na Chilwell walikuwa wa moto kwenye kuchangia magoli.
Bado hajafukuzwa tu?Bado hajafukuzwa tu?
Liverkuku tunamwomba Juggen Klopp tufundishwe naye mara 1 [emoji16]Huu usajili mliofanya Chelwowowo ingekuwa tumeufanya Liverpool hakika tungekuwa tunaongoza hii ligi.
Cc OllaChuga Oc Depal
Kulia kupokezana ni mwendo wa Mashabiki kuitwa majina yote huku Man Utd na Arsenal Fans wakinenepa tu [emoji2]Ifike hatua Potter atuambie shida ni nani kama hataki kuachia ngazi hadi afukuzwe!! Ugonjwa wa pressure inatunyemelea kabisa.
A winning team huwa haibadilishwi ila kwa potter game hii wamecheza vizuri wiki ijayo anafanya mabadiliko.Commentator Townsand anamwaga point.
Anasema kila mechi Potter anafanya rotation sio chini wa wachezaji 6.
Anatakiwa achague 1st eleven yake, ambayo atastick nayo kwenye kuifanyia maboresho na kupata matokeo
Ametoa mfano wa Arteta na Arsenal
Jinga Jinga wewe [emoji1]Mnataka mwenzenu afukuzwe kazi?? Kumbukeni ana mke na watoto wanamtegemea. Muacheni amalize mkataba wake jamani.
Hizo ni mechi 7 tu za mwanzo wa msim tena katika all competition. Hata half ya mechi zote tulikuwa hatujafika.Tuchel msimu ulivyoanza na yeye alikua anastruggle.
Mashabiki wengi hamkumbuki hilo, mnakumbuka trophies alizozileta kwa kipindi kifupi. Nakumbuka Tuchel alistruggle mpaka Terry akasema anatamani apate kazi Chelsea na timu yake itakua na back four ikiwa ni dongo kwa Tuchel
Na ni kipindi hicho akasema matatizo ya chelsea ni yale yale kwakua ana watu walewale. Boehly akaingia mfukoni kilichofuata ni Tuchel kusaini mabeki wengi miongoni mwao ni Koulibaly.
Ndiyo maana mimi naamini hata Tuchel angekuepo Chelsea pengine isingekua hapa ila isingekua ile iliyosumbua UEFA na Ligi
Umenifurahisha sana we Arsepimbi [emoji847]Shangilia ila usiniguse[emoji23][emoji23]View attachment 2530798
Hawajui si kila Kocha ni kwaajili ya kufundisha timu kubwa vise versa is totally true to the football players [emoji4]Kufundisha team kubwa sio lelemama ndio maana Zidane alitakiwa apewe credit zake pale madrid
[emoji16]Saizi hata kuwatania ni kuwaonea tu mnatia huruma poleni the blues.View attachment 2530806
Tuchel alinunua mabeki wangapi kama sio 3, Je Tuchel alipoteza mabeki wangapo waliondoka free au hamkutaka areplace pengo la Rudiger na Christiansen.Tuchel msimu ulivyoanza na yeye alikua anastruggle.