Penalti ya pili ilibidi Potter ainamishe kichwa, kashtuliwa na msaidizi wake kuwa ni goli ndipo akaamuka kushangiliaUkiangalia pia hajiamini kabisa yani timu imemzidi uwezo anachofanya ni kubahatisha tu mpaka mechi inaisha alikuwa na presha kubwa mno
Potter kuwa kocha wa Chelsea wewe unapata hasara gan ?Tusipumbazwe na huu ushindi, Potter sio kocha sahihi kwetu inapaswa aondoke haraka sana. Ukitizama uchezaji wetu bado ni wa kubahatisha tu, kocha ata sub hajui.
Bellingham ni mchezaji overrated mimi sioni ubora wake uko wapiβMbele ya Enzo kila goti litapigwaView attachment 2541743
Nani kakwambia?real ayuko upande we2
Hebu niletee match uliyocheza na madrid na ukamfunga hata moja tu....Mna jifariji sana
Huna uwezo wowote kwa sasa
Liva anamtoa Madrid
Wamekutana na madrid mara nyingi, mwambie akuletee hata match moja waliyoshinda.Kisa kamfunga yule kibonde 7 wewe mpira huujui madrid team pekee inayoweza kumtoa UEFA ni chelsea pekee
Unatamani sana tukutane na Real Madrid au Bayern.Nani kakwambia?
Baada ya round 16 inachezeshwa draw tena, kisha baada ya hapo ndo kunakua na tree.
Kwahiyo kwa sasa hakuna upande, yoyote unampata awe Real Madrid au Bayern.
Chalsea ya potter aiwezi kumondoa Madrid kwa wakati hu, labda wachezaji wenyewe wajiongoze bila kumsikiliza huyu porter.Kisa kamfunga yule kibonde 7 wewe mpira huujui madrid team pekee inayoweza kumtoa UEFA ni chelsea pekee
We hutakiπUnatamani sana tukutane na Real Madrid au Bayern.
Acha uchawi mkuuNinawakumbusha tu msije sema sijawaambia kuwa kesho timu yetu itaaga rasmi michuano ya Ulaya kwa mwaka 2022/23 na 2023/24
Acha unafiki mkuu πππππMan city ndio timu pekee ya England itakayofuzu robo fainali uefa.
Asanteni kwa kushiriki.
Mlete livakuku mlete madirid πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
English players wengi wako overratedBellingham ni mchezaji overrated mimi sioni ubora wake uko wapi