21 feb 2023 Liverpool 2-5 Real MadridHebu niletee match uliyocheza na madrid na ukamfunga hata moja tu....
Mna jifariji sana
Huna uwezo wowote kwa sasa
Liva anamtoa Madrid
Real Madrid ya sasa hivi haifanyi vizuri, imepoteana, Ancelotti yuko kwenye kikaangoChalsea ya potter aiwezi kumondoa Madrid kwa wakati hu, labda wachezaji wenyewe wajiongoze bila kumsikiliza huyu porter.
Yani Psg ina Messi na Mbappe lakini hata goli 1 hawajapata je sisi tulivyo wachovu tutawezaTimu zitakazokutana na huu mwamba hazitaacha kujikwaa
Bayern hawafanyi vizuri kwenye ligi yaoYani Psg ina Messi na Mbappe lakini hata goli 1 hawajapata je sisi tulivyo wachovu tutaweza
Psg hawa hawa wamepigwa na BenficaYani Psg ina Messi na Mbappe lakini hata goli 1 hawajapata je sisi tulivyo wachovu tutaweza
Mnacheza lini nyie tujiandae na popcorn zetu kuwashuhudia mkifanyiwa ukatili wa micheza kama walivyofanyiwa LiverkukuMan city ndio timu pekee ya England itakayofuzu robo fainali uefa.
Asanteni kwa kushiriki.
Hivi uoni kazi anayofanya james kwenye ukabaji ingawa kwenda mbeleamekuwa sio tishio Sana ni kwasababu sterling alikuwa hakabi ndio maana mzigo unakuwa mkubwa Sana kwenye ukabaji ndio maana inamzuia yeye kwenda mbele sanaJames hajarudi kwenye form
Chilwell huyoo kwenye form
Sasa rasmi Potter arudi kwenye 343 na aache mapenzi na wachezaji wa mbele ambao hawatupi magoli
3-4-2-1 kwenye EPL
-------------------Felix au Havertz--------------------
Mudyrk au Mount -------------------- Sterling au Madueke
Chilwell ----- Enzo/Kovacic------ Kante /Kovacic---- James
Badiashile au Cucurela ------- Koulibally/Silva -------Fofana
---------------------Kepa au Mendy -----------------
Hii timu itufikishe nafasi ya 5 au 6 ili tucheze na kubeba Europa
Mwaka unaofuatia tunabeba UEFA
Huo ndio utamaduni wetu
3-4-2-1 kwenye UEFA
-------------------Felix au Havertz--------------------
Mudyrk au Mount -------------------- Sterling au Felix
Chilwell ----- Enzo/Kovacic------ Kante /Galagher---- James/Azpi
Cucurela/------- Koulibally/Silva -------Fofana
---------------------Kepa au Mendy -----------------
Sasa miaka 14 iliyopita ndio walishinda match yao ya mwisho....21 feb 2023 Liverpool 2-5 Real Madrid
28 may 2022 Liverpool 0-1 Real Madrid
14 apr 2021 Liverpool 0-0 Real Madrid
6 apr 2021 Real Madrid 3-1 Liverpool
26 may 2018 Real Madrid 3-1 Liverpool
4 nov 2014 Real Madrid 1-0 Liverpool
22 oct 2014 Liverpool 0-3 Real Madrid
10 mar 2009 Liverpool 4-0 Real Madrid
Hujanielewa, James tunayemjua hajurudi bado, huyu James anayecheza sasa anacheza vizuri ila hajamfikia yule James wa kabla majeruhi. Nadhani baada ya mechi kama 2 au tatu atarudi na pia kocha arudi kwenye 343 kwa sababu James anaonekana mzuri zaidi kwenye wing-backHivi uoni kazi anayofanya james kwenye ukabaji ingawa kwenda mbeleamekuwa sio tishio Sana ni kwasababu sterling alikuwa hakabi ndio maana mzigo unakuwa mkubwa Sana kwenye ukabaji ndio maana inamzuia yeye kwenda mbele sana
HahahaaMnacheza lini nyie tujiandae na popcorn zetu kuwashuhudia mkifanyiwa ukatili wa micheza kama walivyofanyiwa Liverkuku
Sisi hatuna cha kufanya tofauti na board members, ila kwa kuangalia Potter anapenda sana aifundishe Chelsea tena kwa dhati kutoka moyoni lakini cha kushangaza hajui aifundishije ili ashinde.Potter mitano tena
Potter juzi alishinda hivyo basi
Tuna imani na potter mikumi kabisa
Kwa hiyo sasa hivi unasema wajerumani hawana pa kwenda ukiondoa Bayern???? mbona kabla mlishasema tunaaga mashindanoHahahaa
Leipzig hawana huo ubavu, jumanne tunajikamulia zetu mapemaa..Ukiacha Bayern, hawa wajerumani wengine hakuna pahali wanaenda.
Hizo nyingine ni wishes na tambo tu za hapa na pale kuongeza heat ya mchezo lakin toka first leg borrusia walikuwa wamezidiwa pakubwa tu ila bahati ikawabeba na bahati huwa haiji mara mbili.Kwa hiyo sasa hivi unasema wajerumani hawana pa kwenda ukiondoa Bayern???? mbona kabla mlishasema tunaaga mashindano
Swali zuri akikujibu nitagKwa hiyo sasa hivi unasema wajerumani hawana pa kwenda ukiondoa Bayern???? mbona kabla mlishasema tunaaga mashindano