Kuna watu wanajisahaulisha na haya matakataka. Timu inajiendesha yenyewe hii hakuna kocha hapa, kai anapoteza mipira kizembe kocha anatoa macho tu hana ubavu wa kuwakalipia wachezaji. Maajabu huwa ni kwenye sub za kocha sasa huwa ni full gamble
#CFC💙💙💙Come on💙💙💙💙
kiukwely ile hari inaanza kurudi taratibu ukiangalia kila mchezaji anajituma na timu inapata matokeo yan kk na cucurela utasema sio wale yan wanaperfom kwenye level yao fofana sina mashaka nae uyu dogo lilikua ni suala la mda kiungo cha kati akirud na kante pale[emoji33]
mbele pale mikhailo anaanza kujipata taratibu sina shaka nae ila improvment ya havertz [emoji122]
Kila mechi Felix anagonga mwamba ila naamini siku zinakuja mpira utaanza kuingià wavuni na hapo ndipo ambao hawajacheza na Chelsea hawatapenda game zetu.Team inaanza kuclick kwa Mara ya kwanza nitoe pongezi kwa Potter amefanya tactical change sahihi kwa wakati sahihi kwenye kipindi Cha pili baada ya kuona tumezidiwa pale Kati kamuingiza Gallagher pale aliua game kabisa kwasababu akaongeza mtu anayepress nakufanya tuwe midfielders watatu ndipo game ikawa yetu.
✓Enzo dah tumepata mtu aisee magoal mawili yamepitia kwake good performance 🔥 ni aina ya mchezaji tulikosa muda mrefu wa kufunga defensive ya opponent na kinachonivutia kwake ni mtu wakupiga forward passess
✓koulibaly,Fofana, Cucurella wamecheza vizuri Sana hata alivyoingia bachishile naye akakiwasha good job
✓Kai anaanza kukomaa Sasa 🔥
NB: Naona sasa team imekaa sawa namna tunavyoshambulia superb na namna tunavyodefense wooh Potter amepata team anayoitaka.Conglatulations to all chelsea fans
Enzo sina shaka nae, ndani yake kuna mchanganyiko wa wachezaji wanne Xhaka, Jorgihno, Partey na Odegard.Umeona pacha wako Enzo mwenzako anavyokiwasha?
🤣🤣🤣🤣Enzo sina shaka nae, ndani yake kuna mchanganyiko wa wachezaji wanne Xhaka, Jorgihno, Partey na Odegard.
Tunahitaj kupatq dm mzuri atakaemfanya Enzo asogee mbele. Tufaid ubora wake.what a pas[emoji7] pale pasi ya goli inavokua nzuri kuliko goli View attachment 2546428
Kacheza vizuri ila hajatulia, uchezaji wa Cucu hauna kitu kinachoitwa good composure, akikutana na baadhi ya timu nzuri utaona kwamba haufai. Uchezaji wake mzuri ni wa papara papara bila kutulia kama akina BadiashileCucurella kacheza vizuri Sana mkuu acha kumuonea ebu angalia takwimu zake za leo vizuri
Anatukumbushia enzi za FabregasTunahitaj kupatq dm mzuri atakaemfanya Enzo asogee mbele. Tufaid ubora wake.
Ule mpass pale Jorginh angepeleka pembeni au angerudisha nyuma
Jana alitulia hata pass zake zilikuwa na macho wewe umemjudge kwa mechi zilizopitaKacheza vizuri ila hajatulia, uchezaji wa Cucu hauna kitu kinachoitwa good composure, akikutana na baadhi ya timu bzuri utaona kwamba haufai. Uchezaji wake mzuri ni wa papara papara bila kutulia kama akina Badiashile
Ile v aliyopiga kipofu dk za mwisho na kuwaacha wacheza kama watatu kwenye position nzuri ya kufunga, hukuona. Let asume atakuwa bora zaidiJana alitulia hata pass zake zilikuwa na macho wewe umemjudge kwa mechi zilizopita
Cucurella wa mechi hizi mbili ni tofauti na yule wa Mwanzo nadhani criticism zimemjengaIle v aliyopiga kipofu dk za mwisho na kuwaacha wacheza kama watatu kwenye position nzuri ya kufunga, hukuona. Let asume atakuwa bora zaidi