Chelsea paid less than β¬1 million for Jamaican wonderkid Dujuan Richards, who was close to joining Newcastle before Joe Shields played a crucial role in getting the deal done.
Ecuadorian wonderkid Kendry Paez will also be a Blue soon.
Kamcheki Twitter kuna video zake ila ni mzuriHivi huyu dogo ni mzuri?
Ivi dili la rafinya lilishiaga wapi kwanini tulishindwa kumchukuwa?Huyu Raphinha akienda Barcelona ataenda kuwa tu kama akina
Kwa hiyo tuwaache tu waingie mkenge
- Luuk De jong,
- Merphis,
- Adama Traore,
- Countinho
- na Co
Benchillwel hauzwi hata hao Man City wanajua hilo sidhani hizo tetesi ni za ukweli labda ungekuwa Ziyech hapo sawa
π€£π€£π€£π€£π€£Next season mtakuwa hatari. Ila season hii tuacheni timu zote tuwachape mpaka turidhike
Na nyinyi msipochukua ubingwa wa epl msimu Huu hamtachukua Tena ubingwa kwa miaka MingiNext season mtakuwa hatari. Ila season hii tuacheni timu zote tuwachape mpaka turidhike
πππ sisi wenyewe tunashangaa Bado mechi 11 na tunaongoza ligi. Tulidhani tutakuwa tunapambana na top 4 wakati huu na siyo ubingwaNa nyinyi msipochukua ubingwa wa epl msimu Huu hamtachukua Tena ubingwa kwa miaka Mingi
Ubovu wa Chelsea, Liverpool na Man u umechangia nyinyi kuwa hapoπππ sisi wenyewe tunashangaa Bado mechi 11 na tunaongoza ligi. Tulidhani tutakuwa tunapambana na top 4 wakati huu na siyo ubingwa
Hapana. Ukiangalia tumepoteza mechi ngapi msimu huu na tumeshinda ngapi, inaonesha tuko vizuri tu msimu huu. Hata tukifungwa imekuwa ni Kwa kuwa na siku mbaya kazini. Hata hao wengine mngekuwa vizuri Kwa form hii Bado tungekuwa huko juu, pengine hata juu yenuUbovu wa Chelsea, Liverpool na Man u umechangia nyinyi kuwa hapo
Sijasema nyinyi ni wabaya ila nimesema ubovu wa Chelsea, Liverpool na Man u pia imechangia nyinyi muwe hapo ebu itafakari hii kauli kwa umakini utanielewa namaanisha niniHapana. Ukiangalia tumepoteza mechi ngapi msimu huu na tumeshinda ngapi, inaonesha tuko vizuri tu msimu huu. Hata tukifungwa imekuwa ni Kwa kuwa na siku mbaya kazini. Hata hao wengine mngekuwa vizuri Kwa form hii Bado tungekuwa huko juu, pengine hata juu yenu
tukiongoza ligi
Labda kama sijakuelewa vizuri. Ni kama unasema sisi tuko juu Kwa sababu nyie mmekuwa wabovu. Mimi nasema hata mngekuwa vizuri ( mnashinda mechi zenu nyingi pia) na sisi Kwa form hii, bado tungekuwa huko juu. Labda tungegawana points tukikutana (mfano tulivyogawana na ManUtd) au tungefungana lakini basis ya ushindani wetu ingekuwa Kwa namna tunavyopiga timu za nje ya top 6, ambazo nyingi tumezipigaSijasema nyinyi ni wabaya ila nimesema ubovu wa Chelsea, Liverpool na Man u pia imechangia nyinyi muwe hapo ebu itafakari hii kauli kwa umakini utanielewa namaanisha nini
Siwapingi of course mpo vizuri hilo halina doubt lakini point yangu ya msingi Arsenal ilipata nguvu ya kuona msimu Huu wanaweza kuwania ubingwa imechangiwa na chelsea, Liverpool na Man u kutokuwa na kiwango kizuri so team shindani imebaki kuwa Man City pekee ni kama ule msimu wa leceister city walichukua ubingwaLabda kama sijakuelewa vizuri. Ni kama unasema sisi tuko juu Kwa sababu nyie mmekuwa wabovu. Mimi nasema hata mngekuwa vizuri ( mnashinda mechi zenu nyingi pia) na sisi Kwa form hii, bado tungekuwa huko juu. Labda tungegawana points tukikutana (mfano tulivyogawana na ManUtd) au tungefungana lakini basis ya ushindani wetu ingekuwa Kwa namna tunavyopiga timu za nje ya top 6, ambazo nyingi tumezipiga
Aah. Sawa nimekuelewaSiwapingi of course mpo vizuri hilo halina doubt lakini point yangu ya msingi Arsenal ilipata nguvu ya kuona msimu Huu wanaweza kuwania ubingwa imechangiwa na chelsea, Liverpool na Man u kutokuwa na kiwango kizuri so team shindani imebaki kuwa Man City pekee ni kama ule msimu wa leceister city walichukua ubingwa
Bado hamna ubavu wa kuchukua ubingwa nyie mazwazwa.πππ sisi wenyewe tunashangaa Bado mechi 11 na tunaongoza ligi. Tulidhani tutakuwa tunapambana na top 4 wakati huu na siyo ubingwa
π€£π€£π€£π€£π€£Bado hamna ubavu wa kuchukua ubingwa nyie mazwazwa.
Ni ngumu sana. Tunajua hilo. Ila tunaenda tu hivyo hivyo game by gameBado hamna ubavu wa kuchukua ubingwa nyie mazwazwa.
Sasa nyie kilichowakosesha nguvu ni Nini [emoji23][emoji23][emoji23] na ndo matimu yaliyosajili sana hayoSiwapingi of course mpo vizuri hilo halina doubt lakini point yangu ya msingi Arsenal ilipata nguvu ya kuona msimu Huu wanaweza kuwania ubingwa imechangiwa na chelsea, Liverpool na Man u kutokuwa na kiwango kizuri so team shindani imebaki kuwa Man City pekee ni kama ule msimu wa leceister city walichukua ubingwa