Huyu kocha ana minyoo kichwani siyo bure...hizi sub gani sasa.
So what kama ni players wetu?Are they not your players?
Tulikubalina atajenga CV mbele Kwa mbele🤣Kweli nimeamini potter ni kocha wa ovyo, level yake ya ukocha ni ndogo sana kwenye mifumo, mbinu na sub za kipumbavu.
Nilisikia alisomea ukocha wake chuo cha Pasiansi.
HP apewe Millennium kabisa kuikochi Chelsea FC [emoji16]Potter mitano tena
Kocha 0 brain sana, anatia hasira yani. mwenzie kafanya sab na aliemfanyia sab ndio kaenda kututandika. Yeye super sub yake kila siku ni Gallagah😂 mchezaji asiyejua kupga hata pasi 1.Una Mudyk na Madueka wachezaji wenye nguvu, kasi na ubunifu wako benchi.
Unamtoa Pulisic unaingiza Gallagher mpira vurugu
Unamtoa Filex, Kovacic, Fofana unaingiza vituko.
Kwahiyo tukipata goli kinachofuata ni sub za kujilinda tuu.
Potter ni mkosi tuliopata Chelsea, ni ajali kubwa tumeipata katika historia ya THE BLUES
Chelsea FC ni chama la bahati si kama Arsepimbi ambayo tangu dunia iumbwe haijuagi nini ladha ya UEFA champions league cup [emoji847]Sare inawatosha.
Na mechi ya Real Madrid msiende kibanda umiza kwa mpira huu mnaocheza.
Siku nikisikia tu Breaking News "Chelsea FC fires HP A.K.A Chuck Norris" ndipo nitapoelewa nini maana ya furaha [emoji1]Yale matakataka yanayomteteya huyu potta yote kwa pamoja yanapaswa kusagwa sagwa na kutupwa baharini yakawe chakula cha samaki
Labda Pasiansi ya Sinza Bongo, ila si huko kwenye dunia ya kwanza kisoka [emoji3]Kweli nimeamini potter ni kocha wa ovyo, level yake ya ukocha ni ndogo sana kwenye mifumo, mbinu na sub za kipumbavu.
Nilisikia alisomea ukocha wake chuo cha Pasiansi.
Ally tamutamu (pipi) kwenye ubora wako, hatimaye leo Arsepimbi wamepumzishwa na Mshabiki kindaki ndaki toka Man Utd FC [emoji28]Breaking News!
GRAHAM POTTER STEP DOWN
Chelsea manager has finally stepped down. It has just been announced on Blue Sky news. He stepped down from his car in front of his office to continue his office task.
He is such a hardworking Man.
Thanks you for your attention!![emoji16][emoji16]View attachment 2557035
Mtamkumbua Tomas Tuchel [emoji1787]
Tatizo ambalo lipo mabosi wanamkingia kifua nashindwa kuelewa wanaona nini kwa huyu kocha kilaza yani kuna mda mtu unaumia kuona kila siku makosa ni yaleyale halafu abadilikiNi muda muafaka wa Potter kufanya yafuatayo kabla hajaliwa kichwa.
1. Kubadilika kwenye kufanya sub...jamaa ni mpuuzi sana.
2. Kuangalia namna bora ya kumaliza mchezo akiwa na ushindi mkononi.
3. Kumbadilisha yule Bonge wake anaemshauri kuhusiana wakati wa kufanya Sub.
4. Tofauti na hapo, Kichwa kinaenda kuliwa kabla ya Champion match against Real Madrid.
Naomba mwamini maneno yangu.
HP HAJAFUKUZWA TU?Mimi huwa nawambia hapa tusije pumbazwa na ushindi tunao pata, Potter ni senge tu hafai kuwa kocha wetu. Kinacho umiza zaidi huyu fala hajifunzi kupitia makosa yake sub anazo fanya ndio hizo kila siku anafanya. Huyo mbwa anajua kukera sana wale walio mtishia maisha sijui wanasubiri nini kummaliza. Sijawahi ona kocha mbugila kama hilo *****, kiukweli nimeumia sana kupoteza alama 3 leo.