verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,261
- 6,520
Potter apewe ulinziMkuu kwa mkataba wa miaka mitano aliopewa naamini hii ni project. Tumepata kocha mzuri tumpe muda kina Chukwuemeka, Gallagher, Broja, Slonina na wengine wanaweza kufaidika sana na hii project
Ni kweli mkuu ni yeye kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]Mbona Anafanana Na Roman Abrom ivyoo.... Au Mwamba wetu karudi Kama Kocha[emoji3][emoji3]View attachment 2350523
Kweli kabisaHapo ndio utampenda zaidi Potter, binafsi namkubali sana nisiwe mnafiki. Ile falsafa yake naipenda sana, timu lazima ipeleke moto haswa sio unacheza kama umelazimishwa.
Tupo na Chuck Norris [emoji1478]Official, confirmed. Graham Potter has been appointed as new Chelsea manager. [emoji599][emoji838] #CFC
“Chelsea Football Club is delighted to welcome Graham Potter as our new Head Coach, joining us on a five-year contract to bring his progressive football and innovative coaching to the Club”.View attachment 2350382
Ni kweli moja ya jambo kubwa ni amehakikisha tupo kileleni mwa msimamo wa ligi kuuGraham Potter kwa falsafa yake ya uchezaji pamoja na wachezaji anao wakuta atafanya jambo kubwa.
Mumtimue wewe na nani? Wewe kama nani?Tutambua kwamba mmefurahi sana Tucheliban kufurushwa.
Ila naomba niwaambie huyu kocha mpya match ijayo akifungwa tunamtimua na kuleta mpya.
Di Zerbi hatumtaki, Brighton inamkosi tena sanaLuis Enrique
Di zerbi
Hawa makocha msiwapate mtatusumbua
Hao wengine akiwepo na Conte muongezeni wachukueni
EPL wakiongezeka wanaocheza total football itakuwa ngumu zaidi
Inabidi wengine mcheze fujo Kama manjesta
Tatizo la mpira haitaki matokeo ya baadaye, inataka matokeo ya sasa. Kwa majibu hayo utanielewa tuYa kweli haya mkuu[emoji38][emoji38]
Hayo maoni ni sahihi kabisa ila kosa moja tu matokeo ya baadaye hayana nafasi kwenye soka, mashabiki wengi tunajali yanayotokea sasa. Na pia matokeo ya sasa ni ufunguo wa kujua matokeo ya baadayePotter ni project tumpe muda
Shida ya team yetu sasa sio wachezaj bali ni kocha, kocha anamiez 6 sasa ila cha ajabu hakuna improvement yoyote ile iliyoonekana tangu aje, yani ukitoa 10 pts tulizopata wakat wa Tuchel sahiv tungekuwa tuko kwenye relegation battle.Vilabu vya EPL na mishara wanayowalipa wachezaji wao, Chelsea ya pili na utumbo ule wote wanaoonyesha wachezaji
Angalia Brighton na Brentford!!
1. Manchester United – £222,984,000
2. Chelsea – £169,720,000
3. Manchester City – £163,060,000
4. Liverpool – £141,782,000
5. Tottenham – £101,344,000
6. Arsenal – £85,490,000
7. Leicester City – 78,780,000
8. Aston Villa – £75,232,000
9. West Ham – £70,160,000
10. Newcastle United – £62,610,000
11. Crystal Palace – £59,180,000
12. Everton – £43,120,000
13. Wolves – £38,310,000
14. Fulham – £37,610,000
15. Southampton – £35,380,000
16. Bournemouth – £32,044,000
17. Nottingham Forest – £28,590,000
18. Brighton – £28,340,000
19. Leeds United – £17,300,000
20. Brentford – £15,240,000
Ningependelea hawaLuis Enrique
Di zerbi
Hawa makocha msiwapate mtatusumbua
Hao wengine akiwepo na Conte muongezeni wachukueni
EPL wakiongezeka wanaocheza total football itakuwa ngumu zaidi
Inabidi wengine mcheze fujo Kama manjesta
3 draws zingine tunafungwq[emoji16][emoji16]Ratiba yetu ya mwezi April View attachment 2574157
Nafikiri Todd anasubiri hiyo mechi ya Chelsea na Real Madrid ya tarehe 18 Aprili ili afanye mageuzi ya misimamo yakeRatiba yetu ya mwezi April View attachment 2574157
Ngoja nikuulize, hivi huyu huyu Potter tunayemponda, mbona alikuwa nafanya vizuri na Brighton? wengine wakasema alikuwa natembelea mwamvuli wa wachezaji bora. Sasa kama wachezaji wetu ni bora kwa nini Potter asiendelee kutembelea mwamvuli wa wachezaji bora?Shida ya team yetu sasa sio wachezaj bali ni kocha, kocha anamiez 6 sasa ila cha ajabu hakuna improvement yoyote ile iliyoonekana tangu aje, yani ukitoa 10 pts tulizopata wakat wa Tuchel sahiv tungekuwa tuko kwenye relegation battle.
Chelsea ana game 10 zilizobakia ambazo akishinda zote atakuwa na point 68 hapo atakuwa na uwezo wa kucheza walau UEFA ndogo, vinginevyo naiona chelsea ikimalza point 47 ambazo hatashiriki mashindano yoyote mwakani labda ashinde UEFA kitu ambacho ni ndoto ya mchana ya chizi.Nafikiri Todd anasubiri hiyo mechi ya Chelsea na Real Madrid ya tarehe 18 Aprili ili afanye mageuzi ya misimamo yake
Wakati huo Chelsea atakuwa hana chake UCL na kwenye ligi itakuwa nafasi ya 12
Tumeshazoea, kama tajiri mwenyewe aliyenunua timu kwa mabilioni ya dola haumii sisi ni nani tuumize afya zetu kwa ushabiki tuKuna bado anaeumia chelsea akifungwa??