Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Tuna imani nayeClueless boehly anatakiwa aelewe kuwa football ni tofauti na baseball..huyu jamaa toka aje naona kabisa katuvurugia chelsea yetu na bado anaendelea kuivuruga kibaya zaidi hatambui kuwa anazidi kuivuruga kwa kuturudishia lampard.
No disrespect, yes lampard is a chelsea legend ila sio kocha mzuri bado ni armature coach anayetakiwa akae chini ya makocha wakubwa ajifunze tactics , team management etc
Hii ahadi yangu ni kwa Mzalendo Lembu.Daaah hii PISI KALI tunaikosa hivi hivi Wana Chelsea FC wenzangu, hata hivyo tuna Pisi Kali zingine kama Depal na Carleen [emoji30][emoji2960]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Allypipi Analia na nyumbu wenzakeAcha ubaguzi wewe, mbona hujamtaja AllyPipi ambaye kila siku alikuwa anatupatia updated news za Kocha HP ku-step down darajani akielekea kazini? [emoji2]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Lampard aongezewe muda.Lamps bado ni kocha kijana
Aaminiwe aongezewe mkataba na kupewa muda wa kutosha atatufikisha nchi ya ahadi
Acha roho mbaya basi we Saint Anne, inamaana si wengine tubaki kupiga chabo tu utapokuwa unampeya ile kitu inamesa nyensake? [emoji848][emoji57]Hii ahadi yangu ni kwa Mzalendo Lembu.
Nipo hapa nasubiri mpindue meza j5.
Mkipindua basi Lembu anidai chochote.
Nasubiri muwabandueBenzema hakuna kitu kaisha, jana walibanduliwa na akina Chunkueze
Mbwembwe tu hizoAt least Lampard ni afadhali kidogo kuliko yule Mbeba mizigo
Baada ya mechi Lampoard anasema
- NImechukizwa sana kwa kupoteza mechi yangu ya kwanza baada ya kurudi
- Wachezaji hawakucheza kwa ukatili kwenye hio mechi
- Wachezaji wanatakiwa kujua kuwa kuichezea Chelsea ina maana gani?
- Ina maanisha nini kuvaa beji ya Chelsea
- Mashabiki watataka kujua hayo
Naomba unishike mkono basi ili nijisogeze hapo Liverpool kupunguza stress MremboAllypipi Analia na nyumbu wenzake
Hahusiki.
Lampard for life
Mi[emoji110]mingine apewe.
Nyie sisi hatujampa timu Gerrard mfia timu,mmetuona mazwazwa[emoji1787]
Mnaenda chezea timu kwa kumkabidhi mtoto Lampard aipige danadana anavyotaka.
Na Bado,,
Hadi ligi inatisha mtakuwa mkiani kabisa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tuchel came in to replace lampard
Potter came in to replace Tuchel
And now Lampard come in to replace Potter who replace Tuchel who replace Lampard
Hakuna rangi mtaacha kuiona KENGE nyie[emoji1][emoji1]
[emoji1787][emoji1787]Kuna mechi ya ngao ilikuwa kati ya Edwin van der sar vs Chelsea
Alipangua penati tatu zote ikiwepo ya kocha la dunia lampard
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lampard mikumi kabisa ni mkombozi
Na hata akikataa alazimishweSisi tutamuunga mkono...atake asitake
Akimfunga MadridAcha roho mbaya basi we Saint Anne, inamaana si wengine tubaki kupiga chabo tu utapokuwa unampeya ile kitu inamesa nyensake? [emoji848][emoji57]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Usitutoe kwenye reliNaomba unishike mkono basi ili nijisogeze hapo Liverpool kupunguza stress Mrembo
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Lampard anaenda kuvunja daraja[emoji1787][emoji1787][emoji1787]