Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mbinu za tuchel zimepitwa na wakati,

Bayern Ni ile ile
ila Ukiiangalia bayern ya tuchel na Bayern ya Julian Ni vitu viwili tofauti.

Bayern ya tuchel inacheza soka la kipumbavu Sana utadhan Chelsea ya lampard[emoji3525]
 
Chelsea wangempata Enrique time ingekua POA sana, soka la kikatalunya lingeleta ushindana pale EPL Kama guardiola na arteta wanavofanya vzur Apo epl
 
Wauze wote tu,tushachoka kuchaniwa mikeka na timu lenu Hilo halieleweki[emoji3525]
 
Boehly ana mkosi, aache kwenda kutazama mpira timu inapocheza, Jana walienda kuitazama Chelsea wakicheza na Barcelona nyumbani darajani na Chelsea ikafungwa 1-0. Sasa Chelsea wanayo kazi ya kuifunga Barcelona Nyumbani kwao Cam nou
Chelsea ya sahv ni kichapo kila mechi[emoji4]
 
Mfungaji wa magoli mengi wa siku zote pale darajani (All time top goal scorers) Frank Lampard akipeana 1, 2, 3 na mfungaji wa pili wa magoli kwa siku zote pale darajani Boby Tambling alipotembelea uwanja wa mazoezi kuwatia moyop vijana.



Kwaiyo sahivi Chelsea ili ishinde Ni lazima itiwe Moyo[emoji4]
 
Mbinu za tuchel zimepitwa na wakati,

Bayern Ni ile ile
ila Ukiiangalia bayern ya tuchel na Bayern ya Julian Ni vitu viwili tofauti.

Bayern ya tuchel inacheza soka la kipumbavu Sana utadhan Chelsea ya lampard[emoji3525]
Mapema sana kumuhukumu TT ambaye bado hajamaliza nayo Buyern Munich hata mwezi mmoja tu
 
Lawama FC
Lialia FC
Mbuzi wenu wa kafara kwa sasa ni Lampard!
Mnacheza tu na nyakati[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…