Mbona mi naona ishu ni kupata kocha mzuri tu basi.Hatuwezi kukaa sawa uwanjani mpaka pale wamiliki na Viongozi watakapokaa sawa kimaamuz katika utendaji wao.
Kwani Tuchel alipoikuta timu sio ilikuwa na wachezaji wa kawaida tu, mbona aliwainua kiwango na akabeba UCL mbele ya Man City iliyokuwa onfire 2021?
Mimi nadiriki kusema japo tuna baadhi ya wachezaji matakataka ila sehemu kubwa ya ubovu wa Chelsea ni nje ya wachezaji
Uongozi wa Boehly na Kocha mbovu anayeletwa na Boehly
Kuna kitu kibaya Boehly kawakatisha tamaa wachezaji
Wachezaji wanaona hawana future Chelsea kwa sababu hakutakuwa na kuboresha mikataba kama wakati wa Abramovich. Case study ni mkataba wa Mason Mount
Kuna fununu pia zilisikika kuwa wachezaji wenye mishaha mikubwa wataondolewa
Kitu wachezaji wanachoona kuwa kuwa huu utawala mpya hawako tayari kuwaboreshea wachezaji mikataba yao so kwa nini wachezaji wajitoe mhanga wakati matajiri wenyewe hawako tayari kufanya hivyo?
Tendo la Bopehly kwenda dressing room kuwafokea na kuwanyTena msimu huo tulimgonga mancity yule city wa moto aliyekuwa anatembeza dozi ligi nzima ,tulimpiga nje ndani kwenye semifinal kombe la FA na tukamgonga final ya Uefa tukanyanyua kwapa , Chelsea benchi la ufundi ni ovyo na nina mashaka na hao wakurugenzi wa michezo ,recruitment na ufundi hapo Chelsea ,ni viazi , haiwezekani timu iwe na maamuzi mabovu hivyo especially sehemu nyeti kama recruitment ya kochaKwani Tuchel alipoikuta timu sio ilikuwa na wachezaji wa kawaida tu, mbona aliwainua kiwango na akabeba UCL mbele ya Man City iliyokuwa onfire 2021?
Mimi nadiriki kusema japo tuna baadhi ya wachezaji matakataka ila sehemu kubwa ya ubovu wa Chelsea ni nje ya wachezaji
Uongozi wa Boehly na Kocha mbovu anayeletwa na Boehly
Kuna kitu kibaya Boehly kawakatisha tamaa wachezaji
Wachezaji wanaona hawana future Chelsea kwa sababu hakutakuwa na kuboresha mikataba kama wakati wa Abramovich. Case study ni mkataba wa Mason Mount
Kuna fununu pia zilisikika kuwa wachezaji wenye mishaha mikubwa wataondolewa
Kitu wachezaji wanachoona kuwa kuwa huu utawala mpya hawako tayari kuwaboreshea wachezaji mikataba yao so kwa nini wachezaji wajitoe mhanga wakati matajiri wenyewe hawako tayari kufanya hivyo?
Tendo la Bopehly kwenda dressing room kuwafokea na kuwanyanyapaa wachezaji kinawaumiza wachezaji wapya akiwemo Mudryk na Enzo na wengineo.
Pia kuna wachezaji wengi wameanza kulalamika kuwa waliingizwa chocho na boehly kuwasainisha mikataba ya muda mrefu na huku hawapewi muda wa kucheza
Hizi ni tetesi tu, ukweli utajulikana muda unavyokwenda
So ukiona wachezaji wamejikatia tamaa ni kwa sababu wanaona hawana future nzuri Chelsea
Kocha ana nafasi sana ya kunyoosha tabia ya wachezaji na kuleta kujituma na nidhamu dressing room . Angalia Guardiola alichofanya pale city ,pale hakuna umama umama ni nidhamu na kucheza mpira na kujituma asilimia mia , leo hii average player Chelsea pale wanaleta mambo ya ******* sababu hamna enforcer WA nidhamu na kujituma uwanjani ,that's the problemZama zinabadilika, ni ngumu sasa kupata wachezaj aina yakina drogba,terry,ballack,
We angalia hata team zingine zikoje
Nina mashaka na wakurugenzi wa ufundi na michezo pale Chelsea ,wao ndio organisers WA hivi vitu , recruitment ya makocha na wachezaji na kutengeneza plan ya kuexecute maono ya timu .Pochettino naye ni evarage coach, sijaona akiwa na mafanikio ya kombe lolote la maana.
Hivi hawa ni Wazungu kweli au Wazungu pori, mbona akili za kufikiri nnje ya boksi hakuna kabisa?
Wamarekani wapumbav sana wanazingua hii timu angepewa sheikh WA Qatar au Saudia hukoMagumu wanayopitia Liverkuku, Arsepimbi na Mwantesa Utd ndiyo nasi Wana Chelsea tutayapitia tutake au tusitake.
Mimarekani haiko kimpira kwa starehe bali wapo kimasilahi tu tofauti na Waarabu.
Nimeona kuwa Havert atakwepo uwanjani kama starter...uzuri wa Kai ni mzuri kwenye kuhold mpira hadi wenzie washike nafasi.THE BLUES vs ASER8
Mbona tumeshafungwa sasa
James hayupo, kwahiyo mzee Azip ndio atapambana na Martinel. Mzee atajeuzwa kama chapati
Upande wa Chilwell sio mbaya anaweza kupambana na Saka.
Partey, Ode & Shaka vs Enzo, Kante & Kovacic, chini ya Lampard kante anacheza juu sana kama mshambuliaji.
Anaacha gap kubwa hapo katikati, enzo bado hajaingia kwenye soka la epl la nguvu na kasi. Kiungo yetu italemewa/itajeuzwa kuwa lango la walanguzi.
Pale Lampard atakapowapanga Gallagher na Sterling kama washambuliaji tegemezi ndio muendelezo wa kituko wa kutokufunga magoli.
Kiufupi kesho hakuna draw bali kufungwa tuu 2+
Shida si Wachezaji wa aina gani, ISIPOKUWA hata aje Mchezaji toka mbinguni ila bado tu hataleta manufaa yoyote sababu "gari zuri bila Dereva sahihi ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu tu (timu nzuri bila Kocha bora) ni sawa na kuufukuza upepo tu"..Akisajiliwa Youssouf Fofana sasa tunakuwa na Fofana watatu kwenye kikosi
View attachment 2606778
Katika wachezaji ambao nashangaa kuflop ni huyo Pulisic, huyo mtoto alipokuwa Dortmund, alikuwa ana u"mess" flan ndani yake.Wachezaji watakaouzwa msimu huu wa kiangazi ni wale waliobakiza mwaka mmoja hadi miwili kwenye mkataba
Hata kama mchezaji ni mzuri kama hayuko tayari kuongeza mkataba atauzwa dirisha hili akina Boehly hawako tayari kubembeleza kwa sababu hawako tayari kuongeza mshiko kiholela
So tutegemee hawa wanaweza kuwa kwenye hati hati ya kuondoka
- Mason Mount - tangu Feb 23 hakukuwa na mazungumzo yeyote ya kuboresha mkataba wake kama anavyotaka. Timu nyingi na kubwa zinamtaka zikiwemo Liver na Arsenal
- Mateo Kovacic - asipoboreshewa mkataba wake sidhani kama atakubali kusaini mkataba mwingine, anatakiwa na Tuchel
- Pulisic - Sidhani kama uongozi utakubali kuongeza mkataba wake - mtumishi hewa
- Cheek - Sidhani kama uongozi utakubali kuongeza mkataba wake
- Auba - Sidhani kama uongozi utakubali kuongeza mkataba wake
- Azpilicueta - Sidhani kama uongozi utakubali kuongeza mkataba wake
- Koulibally - mambo hayakumuendea vizuri drajani
- Hakim Ziyech - hana ham,u ya kuichezea Chelsea
- Conor Galagher - misfit
- Edourd Mendy - hana ham,u ya kuichezea Chelsea
- Odoi - hajaonyesha cheche zozote kule Leverkusen
- Ampadu 50/50
- Malang Sarr
- Bakayoko
- Rahman baba
- Lukaku - Mentality yake dhidi ya Chelsea ni hasi
Unaniwekea mizee na vilema. Yani nimweke nje zinchenko, Silva alichomzidi Saliba uzoefu tu. Labda kidogo James, na kante kwenye ubora wake----------------- Jesus---------
Martnel ----- Ode ----- Saka
------ Partey ---- Kante --------
Chil - Gabriel - Silva - James
Lawama FCNdio maana Abramovich alimkataa Boehly alipojaribu kuinunua Chelsea 2019
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]Boehly hakuna mwenye uchungu zaidi yako kaza baba ni timu ni yako
Hakikisha unapata kocha unayemudu WASIKUPANGIE TIMU NI YAKO