Mpira bana, ni mchezo wa jabu,hapo hapo adui anageuka kuwa rafikiSasa Chelsea naomba muwapige wote hawa kwani nyie hamzipati point 9?View attachment 2614753
Nanilazima mtawafunga tu kama UEFA [emoji23]Mpira bana, ni mchezo wa jabu,hapo hapo adui anageuka kuwa rafiki
Mashabiki wa Arsenal wanatuomba tuwapige Man city
Mashabiki wa Liverpool watuomba tuwapige Man utd
Muhamishieni timu ya wanaume [emoji1787]Uyu demu anarecod za kutishaView attachment 2617134
Umemn'gan'gania huyo Toney sijui unampenda nini huyo sio mchezaji wa kiwango Cha ChelseaChelsea Next Season Outlook
sio mimi, kuna mshabiki kule twitter kaweka hivyo kulingana na rumours za mediaUmemn'gan'gania huyo Toney sijui unampenda nini huyo sio mchezaji wa kiwango Cha Chelsea
Umemn'gan'gania huyo Toney sijui unampenda nini huyo sio mchezaji wa kiwango Cha Chelsea
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dah hili chama letu lishakuwa takataka kitambo sana. Siku hizi tuko kinyumbani zaidi twende na yanga tu Yanga daima mbele nyuma mwiko
Naona leo umeachiwa uzi mwenyewe 😆Kesho
Line up
4-3-3
Sterling -----------Havertz------------------Madueke
Enzo -----------------Kante ---------------Galagher
Hall --------Badiashile ----------Silva ----------Chalobah
--------------------Kepa---------------------------
Havertz wa nini?Kesho
Line up
4-3-3
Sterling -----------Havertz------------------Madueke
Enzo -----------------Kante ---------------Galagher
Hall --------Badiashile ----------Silva ----------Chalobah
--------------------Kepa---------------------------
Hivi badala ya Havertz nani angecheza hiyo nafasi? Kai anawapa pressure mabeki kuliko mchezaji yeyote wa Chelsea.Havertz wa nini?
Walishamjaribu Datro?Hivi badala ya Havertz nani angecheza hiyo nafasi? Kai anawapa pressure mabeki kuliko mchezaji yeyote wa Chelsea.
Kai alivyolegelege unasemaje anawapa pressure mabeki?Hivi badala ya Havertz nani angecheza hiyo nafasi? Kai anawapa pressure mabeki kuliko mchezaji yeyote wa Chelsea.