Hamna kitu pale Kaka.Huwa navuta picha Kai angecheza na Hazard, Willan, Fabrigas angekuwa mchezaji wa namna gani
Huwa namuona Kai kama ana kitu special hivi katika uchezaji wake lakini kama anashindwa hivi kukitoa.
Embu tupate kocha mpya msimu ujao tumuangalie tena Kai.
Kucheza mpiraPulisic ameingia kufanya nini?
Msimu ujao mtalilia vichakani ni mwendo wa Dozi tu.Huu msimu nashindwa hata kuwatania maana naona ni sawa na kupiga bomu mochwari hafu ujisifu umeua.
Tuonane msimu ujao.
Kupigana Cash Money ForeverPulisic ameingia kufanya nini?
Mara 100 aiseeeHall ni mzuri kuliko Cucurela.
Tofauti ni rasta tu. Tumekula hasara pale.Madueke na Odoi wana tofauti gani kiuchezaji?
Tulishasema kocha mzuri kwanza, tusiwahukumu sasa hiviThe Blues tunahitaji kusajili mawinga wengine Kushoto na Kulia kwa ajili ya msimu ujao, endapo Ziyech na Pulisic wataondoka.
Madueke na Mudyk sio wa kuwategemea sana. Bado wana mapungufu mengi.
Ni kweli mkuu, Chelsea hitaji la kwanza ni kocha mzuri then usajili wa maeneo machache. Kwa game ya jana unaona kabisa mwanetu Gallagher sio wa kucheza mpira kabisa achilia mbali kucheza Norwich City.Tulishasema kocha mzuri kwanza, tusiwahukumu sasa hivi
Haya Cash Money Forever futa kauli yako kuhusu Man Utd.THE BLUES FIXTURES
Arsenal vs Chel - TUNAFUNGWA[emoji3581]
Bourne vs Chel - SARE/KUFUNGWA[emoji777]
Chel vs N. Forest - SARE/KUFUNGWA[emoji3581]
City vs Chel - TUNAULIWA[emoji3581]
Man utd vs Chel - PIPA NA MFUNIKO/SARE
Chel vs Newcastle - TUNAFUNGWA
Na bado kaachwa akacheza dk.80 zote. Lampard aachane na habari za mpira.Ni kweli mkuu, Chelsea hitaji la kwanza ni kocha mzuri then usajili wa maeneo machache. Kwa game ya jana unaona kabisa mwanetu Gallagher sio wa kucheza mpira kabisa achilia mbali kucheza Norwich City.
Yupo Sterling na anakuja NkunkuEpl ni mbio ndefu hutuwezi kuwategemea Mudyk na Madueke pekee bado sio wa kuwategemea.
Ndio maana nikasema kama Ziyech, Paparazi na Pulisic wataondoka lazima tujaze nafasi zao kwa mawinga wenye uwezo zaidi ya Mudyk na Madueke
Galagher mchezaji mzuri, palace alicheza vizuri. Tunarudi pale pale kwa kocha. Uchezaji wa Galagher ukiratibiwa na kicha anayemjua ni mzuri. Anajua kupress, sasa hivi anainekana papara ila akiwa chini ya kocha mzuri pressing yake italeta manufaa makubwaNi kweli mkuu, Chelsea hitaji la kwanza ni kocha mzuri then usajili wa maeneo machache. Kwa game ya jana unaona kabisa mwanetu Gallagher sio wa kucheza mpira kabisa achilia mbali kucheza Norwich City.