Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,787
- 2,233
Kweli lakin pia anaweza akabaki kwa matumiz ya backupSoma taarifa, Levi mwenye haitaki Chelsea na mashabiki wamekasirishwa na interview aliyofanya baada ya Chelsea nafikiri kufungwa na Manure. Yeye anataka kubaki Brighton na tukilazimisha kumleta anaweza asicheze kama alivyocheza Brighton. So always kuna options nyingi nio vyema kubaki na wachezaji ambao watakuwa Loyal kwa timu, amshabiki na kocha
Akina Datro Fofana na wengine wote waliokuwa chin i ya 21 yrs old waliletwa kwa ajili ya transition ya development team kwenda first team. Mradi wowote endelevu lazima uhakikishe depatrment and age range zote zina uwezo wa kufeed first team.Klabu yetu tukubali ama tukatae imeharibiwa na ile zile sajili za hovyo hovyo na kukurupuka. Tumesajili wachezaji wa kawaida sana imagine leo hii yule Fofana tunataka kumtoa kwa mkopo, yaani wachezaji wengi ni wakawaida sana.
Kwenye majadiliano ya mkataba mpya amegoma hadi apewe asurance kuwa atacheza regularly Huku kwenye interview ameonyesha haipendi Chelsea. ungekuwa wewe ungefunga ndoa na mwanamke asiyekupenda?Kweli lakin pia anaweza akabaki kwa matumiz ya backup
Felix ni mzuri sana kaja kaikuta timu imeoza na bado aliweza kuonyesha ubora wakeSikuwahi kuona ubora wa Felix katika huu muda alikuwa hapa kwa mkopo.
Ila kuna wakati wachezaji wanakuwa na kibri sana wakiona wanahitajika na timu ila kwa kweli timu kubwa kuliko Lev ila natamani abaki maana Briton kacheza vzr sanKwenye majadiliano ya mkataba mpya amegoma hadi apewe asurance kuwa atacheza regularly Huku kwenye interview ameonyesha haipendi Chelsea. ungekuwa wewe ungefunga ndoa na mwanamke asiyekupenda?
Chelsea don't want to sell Levi Colwill, but there is also concern within the club about his situation. He has two years left on his current contract. A new deal has been on the table for a while, but he hasn’t shown any desire to sign without assurances that he will play…
Fabrizio
Levi Colwill: “I don’t know what is going to happen [at Chelsea]. I’m still here until the end of the season. I just focus on that, we’ll see what happens”, says via
@TheAthleticFC
. #CFC“Brighton have done a lot for me. They put their trust in me when others didn’t”.
Chelsea Dodgers
Exclusive Levi Colwill interview on his future:
“Brighton have done a lot for me. They put their trust in me when others didn't, and I’m a person who loves to repay that. We’ll see."“I don’t know what is going to happen (at Chelsea). I’m still here until the end of the…
Kwa mazingira kama haya ni bora kumuuza akitokea Sweater mwenye mshiko mkubwa ili tubalance vitabu vya fedha na hapo hapo tupate nguvu ya kusajili mbadala wake mwenye uwezo kama yeye au zaidi yake. Hii ndio prefessional football, ni kununua na kuuza kwa faida kama mchezaji ni mzuri na hana tena royalty na timu
Ila hata kwa upande wangu bado uongozi ukitumia hekima bado Colwill anaweza akabaki, akasaini mkataba na kuwa sehemu kubwa ya hii project. Kwa sababu hitaji lake kubwa ni uhakika wa kucheza
PSG NAO WACHAWI TU HAO HATA WAFANYAJE HAWAFIKI POPOTEManuel Ugarte
Japo anapenda kuja Chelsea lakini anaweza shawishika kwenda PSG
- Current Salary at Sporting in USD: 22K/week
- Chelsea offered: 46k/week
- PSG offered: 96k/week
Kova ni jembe Sana sijui kwanini anauzwaEXCL: Manchester City have opened concrete talks to sign Mateo Kovacic in the summer. Positive discussions took place with player’s camp in the last few days over personal terms
#MCFCChelsea, open to selling Kovacic as part of midfield revolution. Talks will continue soon.
- Fabrizio Romano
View attachment 2641746
Injury nae kazidi mkuuuKova ni jembe Sana sijui kwanini anauzwa
Naona wanaundwa timu mpya, tusishangae hata na jina likabadilishwaKova ni jembe Sana sijui kwanini anauzwa
Mkuuu lembu kwa nni umesema hivyo mkuu upya kiaje mpka jina hatariNaona wanaundwa timu mpya, tusishangae hata na jina likabadilishwa
Kabakiza mwaka 1 na hana mpango wakuongeza mkataba, so either auzwe sasa au aondoke free mwakanKova ni jembe Sana sijui kwanini anauzwa