Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,747
Nenda kwenye mada, wacha kuficha wivu unaokusumbuaHii team inamilikiwa na waarabu ...
Mohammed bin Salman ndio anaimiliki ,toddy ni gelesha tu,za chini hizo nawapa ....
Ningeshangaa bosi gani wa kumwaga £600million msimu mzima kununua kina madueke( ngolo Kante ilibidi amgoogle kwanza ) [emoji23] harafu anavaa suruali za ilala boma ...
Ponit sana hiiiiNenda kwenye mada, wacha kuficha wivu unaokusumbua
Tumeuza wachezaji Uarabuni ili kuepuka FFP na sasa inakupa wivu wa hatari
Kumbuka Man city ndio inamilikiwa na waarabu, kwanza tuweke sawa hapo
Hii team inamilikiwa na waarabu ...
Mohammed bin Salman ndio anaimiliki ,toddy ni gelesha tu,za chini hizo nawapa ....
Ningeshangaa bosi gani wa kumwaga £600million msimu mzima kununua kina madueke( ngolo Kante ilibidi amgoogle kwanza ) [emoji23] harafu anavaa suruali za ilala boma ...
Hadi tar 30 June tutakuwa tumemalizana na FFPNdani ya Masaa Mnne(4) Leo Chelsea imefanya Biashara Ya Kuuza wachezaji wa Tano
Usajiri lazima wachezaji wasiopungua watatuChelsea naona kma timu hatari sana maana wanauza hatari sana je kweli watanunua talented boys au wanauza bila kuinhia sokoni????
Leo kai kawa mzuri kweli ???Tunashukuru kwa biashara ,moyo huu uendelee
Mwenye Avi nzuri ya King Kai naiomba nataka niweke profile
Au sioTunashukuru kwa biashara ,moyo huu uendelee
Mwenye Avi nzuri ya King Kai naiomba nataka niweke profile
Mimi namkubali Kai since Leverkusen ,ilikuwa tumsajiri Kama mrithi wa OzilLeo kai kawa mzuri kweli ???