Colwill anaipenda ChelseaToa Collwill hapo , tuna Badiashile yule kijana ni makini na anatosha sijui kwanini tunang'ang'ania huyu pimbi kwenye dharau anayeitwa collwill
Chelsea haieleweki inataka niniTumehamia sasa Japan
Chelsea have joined the race for top Japanese prospect Keisuke Goto.The 18-year-old striker, regarded as the best teenage talent in Japan, plays for Jubilo Iwata.{Dailymail}
View attachment 2691431
Mbona wako clear, akina Boehly ndoto yao ni kuijenga timu zote upyaChelsea haieleweki inataka nini
Team yetu ina mapungufu makubwa kwenye eneo la midfielders (dimba la kati) tumeuza wachezaji wengi sana kwenye hili eneo tumebakiwa na Enzo pekee ambaye yeye mwenyewe ni mzuri sana akicheza juu huyu Conor Gallagher sio Mzuri kwenye eneo la katikati sijaona juhudi zozote na uongozi kusajili eneo hili kwa haraka zaidi tunahusishwa na Caicedo pekee wakati kuihalisia tunatakiwa tusajili wachezaji wawili kwenye eneo hili lakini uongozi wapo kimya sana.Tuna kocha mpya ambaye anahitaji muda wakujua wachezaji wetu pamoja na ingizo jipya la wachezaji but mpaka sasa tunaenda preseason bado hatujatatua changamoto zetu na usajili unaenda polepole sanaMbona wako clear, akina Boehly ndoto yao ni kuijenga timu zote upya
Kuwa na wachezaji kinda wengi wenye talents ni fursa nzuri ya kuwa na uhakika wa kuwapata wachezaji wa fisrt team huko mbeleni bila kutumioa gharama kubwa
Mfano
Tuna wachezaji wazuri wa firts team ila wengine wanakuwa wazee na wengine wanaweza kuhama kama alivyofanya Mount na wengine wanaweza wakaflop
Lakini pia tusipoweza kuwatumia tutawauza kwa faida
Hivyo ndivyo business inavyofanya kazi
90+% ya wote waliosajiliwa wako vizuri na nadhani bado business inaendelea
Uzuri mmoja ununuzi wa hao U21 haingizwi kwenye FFP
Wakina Todd Boehly bado wana machungu ya zile £600M walizotumia January bila plan hazijalipa now wapo makini kwenye usajiri wanaogopa kupigwa hela tenaTeam yetu ina mapungufu makubwa kwenye eneo la midfielders (dimba la kati) tumeuza wachezaji wengi sana kwenye hili eneo tumebakiwa na Enzo pekee ambaye yeye mwenyewe ni mzuri sana akicheza juu huyu Conor Gallagher sio Mzuri kwenye eneo la katikati sijaona juhudi zozote na uongozi kusajili eneo hili kwa haraka zaidi tunahusishwa na Caicedo pekee wakati kuihalisia tunatakiwa tusajili wachezaji wawili kwenye eneo hili lakini uongozi wapo kimya sana.Tuna kocha mpya ambaye anahitaji muda wakujua wachezaji wetu pamoja na ingizo jipya la wachezaji but mpaka sasa tunaenda preseason bado hatujatatua changamoto zetu na usajili unaenda polepole sana
Kama ni hivyo si bora wangembakisha kovacic na wakaongeza middle mmojaWakina Todd Boehly bado wana machungu ya zile £600M walizotumia January bila plan hazijalipa now wapo makini kwenye usajiri wanaogopa kupigwa hela tena
Mnasajili watoto halafu mnawauza ,sales had Sasa €100m ,dirisha likifungwa utasikia mmetumia €350mChelsea haieleweki inataka nini
Ndugu zangu mwakani tukiwa top 8 basi haya yatakua ni mafanikio makubwa sanaMedical sources inside #Chelsea state that Wesley Fofana's injury is 'very serious'. He could miss multiple months of the season, and possibly the entire campaign.
[via @C345Sam]
Kote huko tutaweka vitu usiwe na haraka msimu wa usajili bado sanaTeam yetu ina mapungufu makubwa kwenye eneo la midfielders (dimba la kati) tumeuza wachezaji wengi sana kwenye hili eneo tumebakiwa na Enzo pekee ambaye yeye mwenyewe ni mzuri sana akicheza juu huyu Conor Gallagher sio Mzuri kwenye eneo la katikati sijaona juhudi zozote na uongozi kusajili eneo hili kwa haraka zaidi tunahusishwa na Caicedo pekee wakati kuihalisia tunatakiwa tusajili wachezaji wawili kwenye eneo hili lakini uongozi wapo kimya sana.Tuna kocha mpya ambaye anahitaji muda wakujua wachezaji wetu pamoja na ingizo jipya la wachezaji but mpaka sasa tunaenda preseason bado hatujatatua changamoto zetu na usajili unaenda polepole sana
Chalobah sio mchezaji wa kumtumaini, slow an bad decision makingAumie tu Collwill yupo na Badiashile hata yule Chalobah yupo vzr.. after raw hatupo UCL so sina was was