Mimi nimemwelewa Wenger; Bada hajarudiana na Manchester United; eti anaogopa Mata anaweza kuleta madhara kwenye timu yako pindi watakapokutana. Huo ndo uoga wa Wenger. Hoja ya MP nayo haina msingi; nafikiri MP ana "mtima nyongo" na JM.
kwa kiwango bado zizou yupo juu ila mara nyingi zizou alikua na back up nzuri kuanzia juve,madrid na timu ya taifa. Ila kama haggi naye angepata back up nzuri kama ya zizou nadhani angelindwa vizuri
Kama ni hivyo then nani alaumiwe? Chelsea? Mourinho?
Kwani wao ndo walioweka January transfer?
Kwani Man City na Arsenal walimtaka Mata, Chelsea wakakataa?
EMT umepotea sana mwanga; karibu lakini! Ok ngoja tuchangamshe agenda kidogo: kuhusu viungo washambuliji wa timu yetu na mchango wao katika timu:
Kwa chelsea kwa sababu tumeaumua kucheza 4-2-3-1; nafikiri hapo mkuu ntuzu utakuwa unazungumzia "wale watatu" Hazard-Oscar-Willian au Hazard-Oscar-Schurrle, au Hazard-Oscar-Mo Salah. au vipi? Yaani nani anaweza kucheza vizuri eneo hilo?
Je ktk timu ya Arsenal au Chelsea tumewahi au tutapata viungo Km Zizou?
bado sijaona kama atapatikana ila kuna watu kama joe cole alikua vizuri sana ktk nafasi hiyo alipokua westham ila alipoenda chelsea akawa anawekwa kama winga ila kama angekua anacheza kama alivokua westham halafu akawa na watu wa kumlinda lazma angekua mbali sana joe cole.
Kwa Uingereza kiungo ambaye hata Zizzou mwenyewe alikuwa akimkubali ni Paul Scholes.....huyu jamaa, kwa Uingereza hadi sasa hakuna kiungo kama yeye....
Je ktk timu ya Arsenal au Chelsea tumewahi au tutapata viungo Km Zizou?
mmh!bado bado kdg ingawa mi ntaenda italy kuna jamaa anaitwa Pirlo,huyu ni hatari
Ni kweli Mkuu!
Vipi watu Km Frederick Lumbarg na Frenky Lampard-viwango vyao Hao watu unavionaje?
hapa mtoe huyo msweden mweke Steven Gerrad,paul schols,yaya toure,juninho,xavi hernandez
Ni kweli Mkuu!
Vipi watu Km Frederick Lumbarg na Frenky Lampard-viwango vyao Hao watu unavionaje?
Ni fitna za mou hizo kuibust kidogo man u ambao wamelala ili yeye asogee pale juu kufanikisha kampeni zake,kama alikuwa muuzaji why asingemuuza mapema mpka kasubiri game ya man u imeisha ndio kamuuza?why aligoma kuwapa Ba arsenal?
Fitna za mou muulize AVB na Brendan rodgerz,amewageuza wenzie maskauti wa kutafuta wachezaj yeye abebe kiubwete,hapana chezea makonde yule ni shidah
nimesikia kuwa match yetu na man city imepelekwa mbele, naomba nijuzwe wadau itakuwa lini