Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Utapeli hautakuja kuisha
 
Mkikutana na hizi timu hapa chini hakuna alama mtakayopata
[emoji116][emoji116][emoji116]
Arsenal
Manchester City
Manchester Utd
Newcastle
Brighton
Brentford
Hii sio chelsea ya Potter/lampard iliyokuwa inacheza kukamilisha ratiba.
 
Walikuwa wakitucheka kwamba hakuna anayehitaji kuichezea timu iliyoshika nafasi ya 12 kwenye ligi bila soka la Ulaya, lakini ona sasa mambo yanawaendea kinyume. Kila mchezaji mzuri anataka kujiunga na Chelsea

Romeo Lavia ameiambia Southamptom kwamba anataka kujiunga na Chelsea Kwa hiyo sasa Chelsea na Soton wanafunga dili la pauni 50m pamoja na addons
 
Enzo, Caicedo, Lavia.

Wapinzani tuogope au Chelsea wanarundika tu wachezaji? hamis77 unaiona hiyo trio ikisumbua EPL msimu huu?
Enzo no. 10, ndio mkakati uliopo. Alishamwambia Kocha anataka kucheza mbele

Kutakuwa na Pivot ile ile ya wawili

Nkunku/Mudryk --------Enzo/Chukwu ----------Olise/Madueke

-----------Caicedo ----------------Lavia -----------
 
Embu kuweni serious basi hao ni wachezaji wa kucheza timu ndogo kama Chelsea sisi tunaenda kuchukua valverde na Tchouameni hivi sisi tuchukue hizo takataka
Nna habari mbaya juu yako.

Moises Caicedo and Romeo Lavia both choose #Chelsea over Liverpool while Aurélien Tchouaméni is liking tweets about him not wanting to join them.

They are finished.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…