Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nketiah anamzidi??
 
Uongozi ukikosea sana kumtoa Datro Fofana kwenda mkopo ikiwa hawajafanya analysis vizuri...Sasa nani msaidizi wa Jackson akiumia au akipata adhabu?
 
Kesho tushushe kipigo kitakatifu kwa wagonga kokoto wa london ili iwe onyo kwa pimbi yoyote atakaye Kutana na sisi msimu huu asilete mazoea na sisi kabisa
Binafsi naamanini atasajiliwa striker mzuri zaidi ya Jackson kabla ya dirisha kufungwa.
 
Uongozi ukikosea sana kumtoa Datro Fofana kwenda mkopo ikiwa hawajafanya analysis vizuri...Sasa nani msaidizi wa Jackson akiumia au akipata adhabu?
Broja lakini tuna tatizo kuu ni kwamba Jackson ataenda kushiriki michuano ya Afcon pengo litaanzia hapa kivyovyote Chelsea watakuwa wameliona hili so lazima watanunua striker
 
Kwanini wazee wa Miami wasitupatie Messi kwa mkopo mpaka mwisho wa msimu then tuwapatie Lukaku bure, ili Messi afanye kuchukua nafasi ya Nkunku amchezeshe Jackson huku nyuma yao akiwezo Enzo?
Messi bado anayo uwezo wa kucheza no. 10 vizuri sana.
 
Broja lakini tuna tatizo kuu ni kwamba Jackson ataenda kushiriki michuano ya Afcon pengo litaanzia hapa kivyovyote Chelsea watakuwa wameliona hili so lazima watanunua striker
Nkunku atakuwa amepona, Broja yupo, Burstow aliyefunga bao dhidi ya Dortmund naye yupo bado hajatolewa mkopo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…