Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 19,009
- 22,509
Tuliwaambia kuhusu Caicedo lakin mlikuwa mnabisha oooh! Tunawaonea wivu mara mkawa mkijibu kuhusu Lukaku huku tukiwaambia mmepigwa pale [emoji23][emoji23][emoji23]
Bora Tuliwaachia tu walambe lolo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Caicedo alijua hana kiwango cha kucheza Club kubwa kama LFC
Poleni Chelsea Huu ni Msiba mzito sana Na mbaya Zaidi Marehemu hatoagwa maan Ameharibika sana sehemu za Usoni baad ya Kupigwa Nyundo Tatu na Wahuni.