Malo Gusto kakimbizwa Sana Ile upande wake leo ,kachakatwa vibaya mno ,na Disasi naye mistakes ,wafanyiwe kazi hizo mistakes aisee83'
Mauricio Pochettino ameamua kuchukua nafasi ya Malo Gusto na nafasi yake kuchukuliwa na Mason Burstow (Chelsea).
Chelsea wameanzia walipoishia msimu uliopita,tuliwambia mpira sio kinunua rundo la wachezaji kwa bei juu,mpira inaitaji coch mwenye mbinu na bahati.Chelsia Man U,Liver kupata unafuu waombi gradiola haondoke pale epl la sivyo timu zitaendelea kushikana uchawi π€£π€£π€£Kinawaramba huko π€£π poor cheltako
Nasikia lembu yupo aisiyuu
Nipo mimi wala sina wasiwasi. mtoto mchanga kuwa na homa za mara kwa mara ni kawaidaPoleni sana wana Chelsea wenzangu
Kiushabiki tumefulia
Kimpira ni sawa kabisa, tumecheza vizuri
Mchezo wa leo umeonyesha tabia zote za wachezaji wasio na Chemistry na pia uzoefu
Mfano tofautisha mabeki wa Westham na wa Chelsea
Mabeki wa Westham walicheza kwa nidhamu ya hali ya juu
Sisi tumejilinda kitoto mno, kuanzia Kipa hakuna kitu pale kwa Sanchez, naona sura nzuri tu na urefu wa kupendeza, Afadhali Kepa wetu
Mabeki wetu wanahitaji kulindwa sana, sio wazoefu
Kipindi cha kwanza tulicheza vizuri ila kipindi cha pili mpira umekuwa ukichezwa zaidi na mabeki ambao nao wanapasiana kwa taratibu mno.
Tunahitaji striker wa pili ili kupeana ushindani na pia kupokezana
Hitimisho
Matokeo kama haya yalitegemewa kwa timu mpya na changa isiyo na uzoefu na wala hawana chemistry nzuri
Chelsea inavyoziodi kucheza inapata uzoefu na kujengezana chemistry na kocha naye atakuwa akijifunza kitu kwa hii squad changa
Caicedo na Lavia wakishatulia katikati ikatulia mambo yatabadilika tu
Sterling akiendelea kucheza kama leo atakuwa anautendea haki mshahara anaolipwa
Tukumbuke kuwa Westhama mwenye umri mdogo ni Paqueta ana miaka 26, wengine ni zaidi ya hapo. So leo ilikuwa ni mechi ya wazee wazoefu na vitoto vya miaka 21/22 kwa wastani
Endelea kujambajamba na huyo caicedo mechi ijayo penati tena pale mmepigwaaaaaaππππππππππPoleni sana wana Chelsea wenzangu
Kiushabiki tumefulia
Kimpira ni sawa kabisa, tumecheza vizuri
Mchezo wa leo umeonyesha tabia zote za wachezaji wasio na Chemistry na pia uzoefu
Mfano tofautisha mabeki wa Westham na wa Chelsea
Mabeki wa Westham walicheza kwa nidhamu ya hali ya juu
Sisi tumejilinda kitoto mno, kuanzia Kipa hakuna kitu pale kwa Sanchez, naona sura nzuri tu na urefu wa kupendeza, Afadhali Kepa wetu
Mabeki wetu wanahitaji kulindwa sana, sio wazoefu
Kipindi cha kwanza tulicheza vizuri ila kipindi cha pili mpira umekuwa ukichezwa zaidi na mabeki ambao nao wanapasiana kwa taratibu mno.
Tunahitaji striker wa pili ili kupeana ushindani na pia kupokezana
Hitimisho
Matokeo kama haya yalitegemewa kwa timu mpya na changa isiyo na uzoefu na wala hawana chemistry nzuri
Chelsea inavyoziodi kucheza inapata uzoefu na kujengezana chemistry na kocha naye atakuwa akijifunza kitu kwa hii squad changa
Caicedo na Lavia wakishatulia katikati ikatulia mambo yatabadilika tu
Sterling akiendelea kucheza kama leo atakuwa anautendea haki mshahara anaolipwa
Tukumbuke kuwa Westhama mwenye umri mdogo ni Paqueta ana miaka 26, wengine ni zaidi ya hapo. So leo ilikuwa ni mechi ya wazee wazoefu na vitoto vya miaka 21/22 kwa wastani
Kipindi hicho hope atakuwa fit na hataumia tenaHuyo si injury prone
Endelea hivyo hivyoo huo mzigo Leo umechoma na utachoma sana penatiππππππNipo mimi wala sina wasiwasi. mtoto mchanga kuwa na homa za mara kwa mara ni kawaida
Nimefurahi Chelsea FC kufungwa maana bado wanahitaji muda kuwa na Pochettinho ili wawe na;Chelsea wakishua mnapigwa nyundo
Kumbukeni tumeondoa wachezaji wengi wakongwe na tumemsajili wachezaji wengi wapya + kocha mpya.
Itatuchukua labda mechi 5 mpaka 10 kocha na wachezaji, wachezaji kwa wachezaji kuelewana/muunganiko mzuri na kupata Matokeo chanya.
Kuweni wavumilivu, matumaini yapo.
1 match Vs 1 judgement = Low thinking capacity in football analysis.Nyie wapumbavu huyu mwehu ndiyo mlitow pound milion 115 mbona hamjui kumtumia?
Mbona Chelsea FC imewatapeli Arsenal na Man Utd kwa Goginho na Mount lakini umekausha tu [emoji848][emoji23]Mudryk mmepigwa vibaya sana. Hamna utapeli mkubwa zaidi ya huu kwenye historia ya mpira.