Kabisa aiseeMoja ya swali muhimu mnalotakiwa kujiuliza ni je, MTU kama Caicedo, tutamtumia kama alivyokuwa anatumika Brighton?
Inawezekana huko mbele akaja kuclick, lakini asicheze kwa ubora kama alivyokua anatumika Brighton.
Inshort karibu sajili zenu zote ni kamali, nyie mmeangalia mchezaji anacheza vizuri, mnabeba, kumbe huko mlipowatoa walionekana wazuri kwa sababu za mifumo ya huko
Huyu fala kajichanganya angekuja Liverpool tuCaicedo aliambiwa na De zerb, ni vizuri uwe makini na timu unayoenda, hasa kwa kuangalia style of play, yeye kaangalia hela. Caicedo is another flop after Mudryk
Kwa hiyo Caicedo ni flop kisa ametoa penalt? Wabongo bhana kha! hahahaha .....Caicedo aliambiwa na De zerb, ni vizuri uwe makini na timu unayoenda, hasa kwa kuangalia style of play, yeye kaangalia hela. Caicedo is another flop after Mudryk
Hamna mchezaji hapo ni mzigigo mmepigwaaaaaa πππππKwa hiyo Caicedo ni flop kisa ametoa penalt? Wabongo bhana kha! hahahaha .....
Na Enzo pia ni flop amekosa penalt.
Kama. Ndio kaharibu mpira kabisa na penati juuuYani alivyoingia Caicedo tu, ndo kaharibu Kila kitu. Mpira WA kwanza kabutua, mpira wa katoa Boko (west ham wangetulia goli like), mpira wa tatu penati.
Alafu Bei yake Β£115M π€£π€£
Tumekubali Caicedo tumepgwaπππHamna mchezaji hapo ni mzigigo mmepigwaaaaaa πππππ
Unawaza kama mm [emoji23][emoji23][emoji23]Yani alivyoingia Caicedo tu, ndo kaharibu Kila kitu. Mpira WA kwanza kabutua, mpira wa pili katoa Boko (west ham wangetulia goli like), mpira wa tatu penati.
Alafu Bei yake Β£115M [emoji1787][emoji1787]
Mtafutieni Psychologist haraka sana dogo wa watu muokoe kipaji chake, dogo anaenda kuwa flop huyo.Kwa hiyo Caicedo ni flop kisa ametoa penalt? Wabongo bhana kha! hahahaha .....
Na Enzo pia ni flop amekosa penalt.
Tena Brighton wameifanya Chelsea kama shamba la bibi. Poleni aiseTumekubali Caicedo tumepgwaπππ
Liverfools punguzeni makasiriko.
Si tumekubaliana mpaka mwakani ndipo tutajuana tena na Mwantesa Utd au ndiyo umeamua kuwa kinyonga ubadilike badilike bila ya kujua unachosimamia? [emoji4]Bora chama langu UNITED. Chelsea ni genge la wahuni na wasuka dread.
Hapa chini ni Miss Penalty & Mr. Penalty.
View attachment 2723212
Liva punguzeni makasiriko.Mtafutieni Psychologist haraka sana dogo wa watu muokoe kipaji chake, dogo anaenda kuwa flop huyo.
Yani alivyokuwa benchi, kidogo Chelsea walikuwa threat, ila alivyoingia yeye sasaππ kabutua, katoa Boko, penati
Tunajua kichapo kimewauma ila mtafanyaje Sasa ndio ishatokea ππππππ3333Tumekubali Caicedo tumepgwaπππ
Liverfools punguzeni makasiriko.
Yaani huo mzigo Bora hata ulivyokua kwenu mpira wa kwanza penati ππππππππ€£ππππ€£Liva punguzeni makasiriko.
Tuipe muda Chelsea FC itakaa sawa ila si kiviile kulingana na everage Coach without European big trophies "Pochettinho" [emoji847]Pochetino OUT
Hii ni aibu sana
Sio caicedo tu mpaka cucurellaπ€£π€£π€£π€£π€£ Brighton sio watu wazuriTumekubali Caicedo tumepgwaπππ
Liverfools punguzeni makasiriko.