Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 8,365
- 16,444
Kweli kila Mtu ana ukichaa wake, timu zisizokujua zinakupumbaza akili hadi kuwaita Binadamu wenzio mmbwa ilihali hata wachezaji, kocha na bodi ya hiyo timu unayoishabikia haikujui? [emoji1787]Mbwa niny [emoji23][emoji23][emoji23]mlijazana kwenye page ya Utd kumbe na niny hamna team kabisaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwantesa Utd fans huwa hawajifichi kabisa kupooza maumivu kwa kichapo cha jana toka kwa Tottenham Hotspur FC [emoji1]Chelsea imejaza rasta kama wanazindua bendi ya Reggae[emoji23]
Kweli kabisa Livakuku mwenzangu [emoji2]Endelea kujambajamba na huyo caicedo mechi ijayo penati tena pale mmepigwaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na Mac-allister tusimsahauSio caicedo tu mpaka cucurella[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Brighton sio watu wazuri
Imepenya hiyo hadi kwenye mfupa [emoji382][emoji38]punguza vingereza
Na Mac-allister tusimsahaunafikiri huo ni mzigo au unasomaga magazeti mpira haungalii unamuongelea worldcup winner mzee
iNauma sana mang'ombe yanavyoteseka zizini333🤣🤣🤣🤣🤣Imepenya hiyo hadi kwenye mfupa [emoji382][emoji38]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
[emoji106]Anazurura vipi? Jamaa anacheza vizuri tatizo hama msaidizi pale mbele. If you watched a game utagundua
Wakati wenzenu wanasajili nyie mnapambana na Liverpool usajili 😀😊,kuonesha mna kibunda cha kutosha
Tulisema sisiTulijua mnamsajili wachezaji kumbe mnajaza ng'ombe zizini🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Usikilizwe una hoja nzuri sana.Moja ya swali muhimu mnalotakiwa kujiuliza ni je, MTU kama Caicedo, tutamtumia kama alivyokuwa anatumika Brighton?
Inawezekana huko mbele akaja kuclick, lakini asicheze kwa ubora kama alivyokua anatumika Brighton.
Inshort karibu sajili zenu zote ni kamali, nyie mmeangalia mchezaji anacheza vizuri, mnabeba, kumbe huko mlipowatoa walionekana wazuri kwa sababu za mifumo ya huko
Mkuu hakuna tatzo mbona mkuuu mapema sana kila kitu kipya pale so unahitaji subra piaMi nawaaambia kuna tatizo Chelsea
Kipa Chelsea FC tumepigwa ni bonge la pazia.Yaani mweupe kabisa huyu hata ally salum anamuweka bench