Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wamewakanda
 
Msimu huu tumekuwa na matarajio makubwa sana kutokana usajiri tuliofanya imerudisha hali ya ushawishi kama mashabiki sasa hiki kilichotokea leo nimejikuta nikipata presha na maumivu ya kichwa
 
Kocha pia sijui kambadilishia nafasi. Huyo kwa uchezaji wake anatakiwa acheze kulia tu na kazi yake kutengeneza nafasi
 
Jackson katengwa, anatakiwa awe anatoka huko kwenye jela. Kwa timu inayopaki mabasi kama Westham ni bora kocha asiwe anamchezesha striker. Saa nyingine ni bora false no. 9 mwenye uwezo wa kucheza kama winga au attacking midfielder
 
Yani alivyoingia Caicedo tu, ndo kaharibu Kila kitu. Mpira WA kwanza kabutua, mpira wa pili katoa Boko (west ham wangetulia goli like), mpira wa tatu penati.

Alafu Bei yake £115M 🤣🤣
Kafanya makosa saba na ya mwisho ikawa penalti na goli, kuanguka sio mwisho wa safari, makosa aliyofanya haimuondolei kuwa sio DM mzuri
 
Kocha pia sijui kambadilishia nafasi. Huyo kwa uchezaji wake anatakiwa acheze kulia tu na kazi yake kutengeneza nafasi
Tuseme ukweli huyu Mudryk tumepigwa sisi mashabiki tuna imani naye lakini anachokionesha tofauti kabisa
 
Kafanya makosa saba na ya mwisho ikawa penalti na goli, kuanguka sio mwisho wa safari, makosa aliyofanya haimuondolei kuwa sio DM mzuri
Caicedo hakuwa na preseason nzuri kule Brighton
 
Jackson katengwa, anatakiwa awe anatoka huko kwenye jela. Kwa timu inayopaki mabasi kama Westham ni bora kocha asiwe anamchezesha striker. Saa nyingine ni bora false no. 9 mwenye uwezo wa kucheza kama winga au attacking midfielder
Jackson mzuri sana tatizo hana msaidizi pale mbele hata pochettino alisema hivyo kuumia kwa Nkunku ndo shida ilipoanzia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…