Hapana bhana mapema Sana kusema hivo, msipende Sana kuangalia matokeo angalien progress ya timu , mpeni Poch angalau mechi 5 kwanza atakuwa na first eleven yake ,Nilishawahi kusema humu Brighton ina wachezaji wa kawaida ila inabebwa na mfumo wa kocha sasa huyu Caicedo tuliomchukua tuone uwezo wake pale chelsea isije ikawa tumepigwa tena kama Cucurela
Mmefika hapa tena?[emoji1787]Kitu pekee ambacho Pochettino lazima afanye ili kubaki na kibarua chake Chelsea ni kuweza kugundua kikosi chake cha kwanza haraka iwezekanavyo kabla ya kuchelewa. Ikiwa atachelewa, ninaona kwamba mlango na njia ambayo Potter alipitia inangojea apitie.
View attachment 2723421
Warudie wapi UEFA?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapana bhana mapema Sana kusema hivo, msipende Sana kuangalia matokeo angalien progress ya timu , mpeni Poch angalau mechi 5 kwanza atakuwa na first eleven yake ,
Chelsea msimu huu sidhan Kama malengo ni ubingwa ,malengo itakuwa kurudi kwanza UCL , Sasa presha yote ya Nini
Kuna kitu sijakielewa kwa Poch, Kwenye Pre season alikuwa anatumia 4-2-3-1 mechi zote, ila cha ajabu kwenye league anatumia 343 nikitu cha hovyo..Ila pia mfumo leo alioutumia Pochettino hauendani na wachezaji tulionao
Angesimama kwenye 4-2-3-1 badal ya kutumia 3-4-3
Mlitukamia tu hamna loloteLiverpool tulicheza vizuri, ila leo sijui wamewadharau Westham, too slow hadi inakinaisha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nilishawahi kusema humu Brighton ina wachezaji wa kawaida ila inabebwa na mfumo wa kocha sasa huyu Caicedo tuliomchukua tuone uwezo wake pale chelsea isije ikawa tumepigwa tena kama Cucurela
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Brighton wanatuchezea washenzi hao kila siku wanatuuzia garasha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unajua baada ya Caicedo na Lavia kufanikiwa kujiunga na Chelsea walifanya sherehe kubwa na ndugu na marafiki walioko London. Ndio maana Kocha alikuwa akiwajaribu kuwalinda kuwa walikuwa na hectic week. Sasa ile hangover ya sherehe bado haijaisha. Kocha alitakiwa asingemuweka hata benchi
😂 Kwa sasa nipo Valencia C.F.Si tumekubaliana mpaka mwakani ndipo tutajuana tena na Mwantesa Utd au ndiyo umeamua kuwa kinyonga ubadilike badilike bila ya kujua unachosimamia? [emoji4]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Akili za bange hizi .Muda sasa umewadia wa sisi wataalamu Chelsea kutamba. Westham atakufa bao tatu kavuu
Sina tatizo na Poch kuna kitu anacho ila hili swala la kubeba kila mchezaji linanipa mashaka coz hatujui kama wanaweza kufit ktk mfumo wakeHapana bhana mapema Sana kusema hivo, msipende Sana kuangalia matokeo angalien progress ya timu , mpeni Poch angalau mechi 5 kwanza atakuwa na first eleven yake ,
Chelsea msimu huu sidhan Kama malengo ni ubingwa ,malengo itakuwa kurudi kwanza UCL , Sasa presha yote ya Nini
Wachezaji aliokuwa anawatumia pre season na kwenye ligi tofauti ndio sababu kubwa ya kubadilisha mfumoKuna kitu sijakielewa kwa Poch, Kwenye Pre season alikuwa anatumia 4-2-3-1 mechi zote, ila cha ajabu kwenye league anatumia 343 nikitu cha hovyo..
Mpaka sasa progress inaonekana,