Hapo kwa odoi ni bora tungechukua hela kwa bayern kipindi kile wanamtakaChallobah Bayern wanataka kumchukua kwa mkopo ,Chelsea wanataka auzwe mazima ,huyu auzwe mazima , Cucurella pia United wanamtaka ,huyu pia akwende zake , Kuna yule galasa Odoi na Malang Sarr tena huyu anakula pesa ndefu ya bure hawa
takataka wotee wauzwe kabla dirisha haijafungwa ,tupate mtonyo kubalance vitabu
anajua kupora mipira, ila kwnye pasi hayupo vizur kabisa. Akifanyia kazi hilo atakua mchezaji mzuri.Conor Gallagher
View attachment 2732376
- No tattoos
- No scandals
- No crazy haircuts
- Not Mason Mount
- 100% committed to Chelsea
Wanaomtaka Challobah tunawapa cucu, malang sarr na odoi bure.Challobah Bayern wanataka kumchukua kwa mkopo ,Chelsea wanataka auzwe mazima ,huyu auzwe mazima , Cucurella pia United wanamtaka ,huyu pia akwende zake , Kuna yule galasa Odoi na Malang Sarr tena huyu anakula pesa ndefu ya bure hawa
takataka wotee wauzwe kabla dirisha haijafungwa ,tupate mtonyo kubalance vitabu
Hapo ndipo ninashindwa kuwaelewa Chelsea wanataka kumtumia maatsen lakini kwangu namuona bado mdogo kwenye ligi ngumu kama Epl. Cucurella sio mbaya anahitaji tu kocha mzuri na akipewa nafasi atakuwa boraNyumbu wanamtaka Cucurela, Chilwell akiumia atacover nani? Na Lewis tulishamuuza.
Ian MaatsenNyumbu wanamtaka Cucurela, Chilwell akiumia atacover nani? Na Lewis tulishamuuza.
Chalobah to bayern MunichLukaku out ,Cucurella out ,Odoi out ,Notingham wanamalizia makubaliano , bado Malang Sarr na Trevoh Challobah
Mazima au on loan?Lukaku out ,Cucurella out ,Odoi out ,Notingham wanamalizia makubaliano , bado Malang Sarr na Trevoh Challobah
Kipara hawezi kutuuzia hii potential labda kwa bei ya HallandCole Palmer to Chelsea
Here we go soon
Nacheza kama kiungo mshambuliaji au winga
Ana miaka 21
View attachment 2733553
Negotiations between Chelsea and Man City for Cole Palmer are ongoing. Told City want fee in the region of £45m to advance in discussions [emoji599][emoji838] #CFCKipara hawezi kutuuzia hii potential labda kwa bei ya Halland
Hivi huyu dogo atatufaa kweli halafu anaenda kucheza namba ipi maana upande wa kulia yupo Sterling na maduekeNegotiations between Chelsea and Man City for Cole Palmer are ongoing. Told City want fee in the region of £45m to advance in discussions [emoji599][emoji838] #CFC
Chelsea had contacts on player side as Palmer would be open to joining them after initial contacts — exclusive story, confirmed.
Wanataka pauni mil 50 ila wako tayari kupokea pauni mil 45Kipara hawezi kutuuzia hii potential labda kwa bei ya Halland
Anache namab kama ya Foden na ana kipaji kama ya Fode. Ambaye aligunduliwa na Joe Shields na ndie yuko mstari wa mbele kuhakikisha amesajiliwaHivi huyu dogo atatufaa kweli halafu anaenda kucheza namba ipi maana upande wa kulia yupo Sterling na madueke