Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Source ya Taarifa za ndani za lembu : "Trust Me Bro"
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ushahamia Mancity duh

Ollachuga kasema kahamia Newcastle

Soon hili jukwaa litafungwa maana wote mtahama

Chelsea inarudi enzi zake inagombea nafasi na kina Bolton wanderas, Charlton, waycombe , Wimbledon

Mkohoti hawezi kuzijua hizo timu
 
Wazalendo wa kweli wanajulikana wakati wa dhoruba na mateso
 
Hahahahaha caicedo kalamba mchana 🤣🤣🤣🤣🤣
 

Attachments

  • 1694165662911.jpg
    105.3 KB · Views: 3
MACA [emoji1033]

Moises Caicedo anapewa somo na kiungo mwenye World Cup yake kibindoni , hapo zime kutana £115m na £35m [emoji41]
 
[emoji3578][emoji599][emoji599] Dirisha lingekuwa linafungwa Jumatatu naimani Kesho Chelsea ingepeleka ofa ya £150m kwa Brighton kumsajili Ferguson kwa anayofanyaa.
 
Lavia kaumia ,so Ghallagher tunaye sana ,[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]maanina mwaka huu tutakoma .
Siangalii mechi ya Chelsea tena mpaka huu msimu uishe ,sitaki presha za bure
Kama Gallagah ataendelea kucheza, tutaendelea kula fimbo kila kukicha.
 
Poche anaangushwa na usajili wa Tajiri wa makinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…