juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,466
Wakati wa Hazard, Willian, Kante, Kovacic, luiz, n.k performance yao ilivyokuwa chini tulikuwa tunasema wachezaji ni wavivu hawajitumi, mgomo baridi ila walikuwa na uwezo mkubwa sana uwanjani.
Hawa wachezaji tulionao sasa hata wajitume mara 10 ya Gallagher uwanjani, still wengi uwezo wao mdogo uwanjani.
Hata wale wachache angalau wanaojiweza kiuwezo wanamezwa na hao wengi ambao hawana uwezo.
Tunao wachezaji wengi wa midtable teams na sio level ya THE BLUES, uwezo wao ndio umefika mwisho, hawafundishiki zaidi. Atakuja kocha mwingine the same lawama kwa makocha zitaendelea hapa.
Sijaona popote mchezaji analaumiwa huku kocha kakaa pale kama vile hausiki
Hujamuelewa Lukub said: Huyo Pochettino alitakiwa aingilie kati, individual error ni dalili kwamba mchezaji hayupo mchezoni
Alitakiwa kufanya sub imediately ili kupeleka ujumbe kwa wanaobaki
Pochettino ni zinga la kocha mjinga sana hasa ni mgumu kwenye kufanya sub pale inapohiotajika
Nitaendelea kusimama na Poche mpaka mwisho, kwa maana ni kocha mwenye uwezo mkubwa ila wachezaji ndio wanamuangusha uwanjani (Wengi wao wana uwezo mdogo & lack of experience).
Exprienced players kama Sterling & James wana utoto/uzembe mwingi.
Silva simlaumu kabsa umri umeshamtupa mkono kwa sasa anatupa bonus uwanjani.
We unaona Arteta kuna kitu mule? tofauti y Arteta na Poch ni mmoja anafundisha chelsea wkt mwingine Arse88.
Mkuu acha utani
Angalia Arteta anapokuwa kwenye touchline na anavyoreact kufanya sub pale anapoona hali siyo halaf njoo kwa Poch angalia Arteta Alivyoisuka Defenc ya Arsenal halaf sisi leo tuko wapi tunafungwa magoal yale yale kila gameweek
Hapo nimetoa mfano wa hizo sajili nyingi za ovyo zilizofanyika, still tunalalamikia makocha. Chelsea tuna mapungufu mengi sana zaidi ya Kocha.
Usajili upi wa hovyo?Hapo nimetoa mfano wa hizo sajili nyingi za ovyo zilizofanyika, still tunalalamikia makocha. Chelsea tuna mapungufu mengi sana zaidi ya Kocha.
Mfano mkishinda game tano mfululizo, mnaweza ingia top four
Ko punguzeni kelele, msubri nini poch ataboresha
Mfano mkishinda game tano mfululizo, mnaweza ingia top four
Ko punguzeni kelele, msubri nini poch ataboresha
Tunamponda Pochettino kwa ufahidhina wake, tena alivyocheza vizuri dhidi ya City ndio hasira inakuwa kubwa zaidi, bora angefungwa. Alituonyesha kuwa Chelsea ni nzima na inaweza fanya makubwa zaidi Ila yeye kwenye mechi za kushinda ndio tunafungwa. Mjinga sana huyo.Mkuu Hawa unaowaona wanamponda poch ni walimpa sifa nyingi sana baada ya mechi ya Manchester city.
It's a Chelsea thing.
CollwillJames, Gusto na Cucurella hawatakuwepo, nanai atacheza RB?
Colwill ni LBCollwill
Sasa wewe una malengo gani kuleta hizi discussions za nyuma?Hebu tujikumbushe kidogo baadhi ya michango yetu wakati ligi bado mbichi
Ndugu yangu lembu Una chochote cha kuongezea?View attachment 2829626View attachment 2829627View attachment 2829628View attachment 2829629View attachment 2829631
Basi madueke akabe lofuColwill ni LB