Huyo alitakiwa acheze kama Sarri alivyomchezesha Jorgninho kwenye na. 6 awe regista, Enzo alicheza vizuri sana wakati wa Potter kwenye hiyo nambaTumeshinda kwa changamoto ya mikwaju ya penati,baada ya matokeo ya 1-1 ,ila naendelea kujifunza matumizi mabaya ya Enzo .Poch anaendelea kutukosea ,enzo namba 10 ni useless dogo anajua kupiga pass na controller wa mechi
MP sometimes anazingua zile sub ndio ziliturudisha mchezoni, hili la kumchezesha Disasi right back silielewi kabisa wakati una gusto hata meatsen kacheza vizuri sana upande ule wa kushoto.Lingine lilonishangaza mechi zote alizomchezesha Enzo no 10 imeonesha hiyo nafasi si bora kwake but jana bado jana kamchezesha kwenye hiyo nafasi tenaHuyo alitakiwa acheze kama Sarri alivyomchezesha Jorgninho kwenye na. 6 awe regista, Enzo alicheza vizuri sana wakati wa Potter kwenye hiyo namba
Hakuna nafasi ya B2B Boss, Hizi ni sifa za Mchezaji husika zinazomfanya kupewa Jina hilo kwa kuwa tofauti na wachezaji wengine kwenye nafasi hiyo.unachanganya B2B na Attacking midfield, Lampard pure attacking midfield hata namba zinakuonyesha wazi , alipatikana 85-90 parcent box mpinzani kuliko la kwake , angalia recovery kafanya ngapi,? tackling ? blocks ?
MP sometimes anazingua zile sub ndio ziliturudisha mchezoni, hili la kumchezesha Disasi right back silielewi kabisa wakati una gusto hata meatsen kacheza vizuri sana upande ule wa kushoto.Lingine lilonishangaza mechi zote alizomchezesha Enzo no 10 imeonesha hiyo nafasi si bora kwake but jana bado jana kamchezesha kwenye hiyo nafasi tena
Mkuu unapoteza muda wako hawatakuelewa mashabiki wengi wa Chelsea hawajui technical issues za mpiraHakuna nafasi ya B2B Boss, Hizi ni sifa za Mchezaji husika zinazomfanya kupewa Jina hilo kwa kuwa tofauti na wachezaji wengine kwenye nafasi hiyo.
LAMPARD ni Kiungo wa Kati CM na Moja ya Viungo bora kuwahi tokea kama Box to Box, Sifa za B2B ni Stamina, Physical Strength, Pressing Ability, Passing Range na Speed ya Maamuzi Pande zote za Uwanja. Mara nyingi amecheza kwenye Double Pivot.
Majukumu ya Ulinzi si lazima kufanya uliyoorodhesha hapo juu. LAMPARD alikuwa Mnyama haswa kwenye Ku-press na Positioning. Tackling ilikuwa udhaifu wake lakini kuzuia si lazima ufanye tackling kuna kina Busquets na Carrick wamecheza DM kwa ufanisi bila kuwa na namba nzuri kama "Tacklers" Ila LAMPARD Pia alikuwa na % kubwa ya Mafanikio ya Tackles chache alozifanya.
Kifupi Lampard ni CM mwenye sifa zote za Kuitwa Box to Box na anatambulika kama Moja ya B2B bora zaidi wahi tokea katika Soka.
Nilikuwa najaribu tu Waelewesha Mkuu mana kuna Mambo kadhaa wanachanganya kwenye Hilo suala la Box to Box na hata CM's zao kwa sasa hazina Uwiano wa wao kucheza Pamoja.Mkuu unapoteza muda wako hawatakuelewa mashabiki wengi wa Chelsea hawajui technical issues za mpira
Sifa ya kwanza ya box to box awe na uwezo wa kucheza kokote kwenye uwanja, awe na uwezo wa kusaidia mashabulizi na kuzaidia kukaba,Hakuna nafasi ya B2B Boss, Hizi ni sifa za Mchezaji husika zinazomfanya kupewa Jina hilo kwa kuwa tofauti na wachezaji wengine kwenye nafasi hiyo.
LAMPARD ni Kiungo wa Kati CM na Moja ya Viungo bora kuwahi tokea kama Box to Box, Sifa za B2B ni Stamina, Physical Strength, Pressing Ability, Passing Range na Speed ya Maamuzi Pande zote za Uwanja. Mara nyingi amecheza kwenye Double Pivot.
Majukumu ya Ulinzi si lazima kufanya uliyoorodhesha hapo juu. LAMPARD alikuwa Mnyama haswa kwenye Ku-press na Positioning. Tackling ilikuwa udhaifu wake lakini kuzuia si lazima ufanye tackling kuna kina Busquets na Carrick wamecheza DM kwa ufanisi bila kuwa na namba nzuri kama "Tacklers" Ila LAMPARD Pia alikuwa na % kubwa ya Mafanikio ya Tackles chache alozifanya.
Kifupi Lampard ni CM mwenye sifa zote za Kuitwa Box to Box na anatambulika kama Moja ya B2B bora zaidi wahi tokea katika Soka.
Mashabiki wengi wa timu gani wanazijua technical issues za mpira? Watanzania kwa kujisimu hatujambo.Mkuu unapoteza muda wako hawatakuelewa mashabiki wengi wa Chelsea hawajui technical issues za mpira
Pole kama umekua offendedMashabiki wengi wa timu gani wanazijua technical issues za mpira? Watanzania kwa kujisimu hatujambo.
Technical issues za mpira hauna ubingwa bali ni kutokana na maono ya mtu kwa wakati huo, ukitaka kuelewesha watu kwa kile ulichonacho kama unaona inaweza kuleta faida kwa mwingine itoe bila kukejeli kwani na wewe kuna kuna nyanja unaweza usiwe vizuri na watu wabobezi itabidi wakujuze.
Tofauti na hapo utafia na maarifa bila kukirithisha kwa wengine ukidhani unapoteza muda.
Bado tunacheza kindezi, hakuna mwenye uthubutu wa kupiga pass katikati ya wachezaji, Silva peke yake ndio mwnye uthubutu. Wanapasiana wenyewe tu kule nyuma.Ila leo kuna kitu nimenote baada ya kutoka Enzo , Ghallagher na Caicedo (viungo punda ) walivyobaki wao pale kati kulikuwa na utulivu sana tangia muda ule ,na ulibondwa mpira mwingi sana , Newcastle hawakufurukuta tena na mpira hawakuugusa kabisa ,wote akina Guimares , Gordon ,Elmiron na wenzao , walipotea na kabisa
Tulia ww...mpo nusu fainali Carabao🤠🤠...unataka nn tena.... Pochetino apewe mda kwakwliBado tunacheza kindezi, hakuna mwenye uthubutu wa kupiga pass katikati ya wachezaji, Silva peke yake ndio mwnye uthubutu. Wanapasiana wenyewe tu kule nyuma.
Caceido nae sijui kapatwa na nini, amekua muoga sikuizi kupga risk pass, tofauti na alivyokua Brighton,akipata mpira anachojua ni kurudisha kw mabeki kaambukizwa na Gallager.
Tulicheza hovyo.hakuna mpira mwingi wowote.
Hamna kitu kinanikera kama backpasses , ule ni ujinga sanaBado tunacheza kindezi, hakuna mwenye uthubutu wa kupiga pass katikati ya wachezaji, Silva peke yake ndio mwnye uthubutu. Wanapasiana wenyewe tu kule nyuma.
Caceido nae sijui kapatwa na nini, amekua muoga sikuizi kupga risk pass, tofauti na alivyokua Brighton,akipata mpira anachojua ni kurudisha kw mabeki kaambukizwa na Gallager.
Tulicheza hovyo.hakuna mpira mwingi wowote.
So unaona asenyeto wanavyocheza mpira fresh ,sasa sisi kupoteza muda kwa backpasses za kipumbavu badala ya kucheza direct attacking footballBado tunacheza kindezi, hakuna mwenye uthubutu wa kupiga pass katikati ya wachezaji, Silva peke yake ndio mwnye uthubutu. Wanapasiana wenyewe tu kule nyuma.
Caceido nae sijui kapatwa na nini, amekua muoga sikuizi kupga risk pass, tofauti na alivyokua Brighton,akipata mpira anachojua ni kurudisha kw mabeki kaambukizwa na Gallager.
Tulicheza hovyo.hakuna mpira mwingi wowote.
😂😂 puchetino ni sawa na Arteta tu, uwezo mdogo. Huwezi kunielewa kwa sasa mpaka ikifika may ndio utaamini.Tulia ww...mpo nusu fainali Carabao🤠🤠...unataka nn tena.... Pochetino apewe mda kwakwli
Usimfananishe Arteta na vitu vya ajabuajabu....Klopp ilimchukua miaka minne kufanya hiki anachokifanya Liverpool ingawa alitoka Dortmund akiwa amefanya jambo....pili Arteta ile kazi ya Arsenal ndo ya kwanza kwake kama kocha mkuu wakati Pochinene ameshazunguka klabu za kutosha....kwhyo pambaneni mfanye vile anavyotaka yy sio mnavyotaka nyny waungwana🤠🤠🤠😂😂 puchetino ni sawa na Arteta tu, uwezo mdogo. Huwezi kunielewa kwa sasa mpaka ikifika may ndio utaamini.
Nuclear weapon kumchezasha Chilwell kuwa winga badala ya LBUsimlinganishe Poche na vikocha vya ajabu ajabu. Tulia kijana wangu Poche anasuka nuclear weapon.
Punguza ujuwaji wa kishamba unataka nijue kila technical issues za mpira mimi ni kocha ?asilimia 25 tu (Basics )inanitosha kunipa awareness ,mengine naendelea kueleweshwa kama mwenye akili alivyo toa maelezo hapa ,hata makocha hawajui kila kitu,unyoandika mashabiki wengi wa Chelsea hawajui,kwa hiyo wa man u,arsenal , Liverpool wanajua tecnical issues.Huu ni USHAMBA .Mkuu unapoteza muda wako hawatakuelewa mashabiki wengi wa Chelsea hawajui technical issues za mpira