passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,881
- 13,096
Ana miaka 19 tu kila kitu kitakuwa sawa alafu ni mchezaji mzuri sanaNaitwa Romeo Lavia nimeajiriwa Chelsea kuja kula mshahara bure, mshahara wa bure ni mtamu nyamnyam.View attachment 2862556
Hata mwanafunzi wa kujifunza anaweza akapata flying colors, mafanikio huja kwa talent na juhudu au zote mbiliKuna mchezaji wa kubadilika ila sio Ghallager, yule sio talented ni mchezaji wa kujifunza darasani. Manguvu mengi akili kidogo.
Ndugu achana na ndoto sisi tunaijua team yetu trip shamba trip garage.Wakuu wa Darajani... kwa mbaali kama naiona TOP FOUR vile - mnasemaje wahenga?
Saa mbili na nusu usikuOyaa Chelsea leo tunakipiga Saa ngapi?
Hatuwezi tukaomba ombi maalumu tucheze na wale kondoo Arsenal.Oyaa Chelsea leo tunakipiga Saa ngapi?
Huyu anaendana na style of play ya Ange
Kwa nini Poche anapendaga kuwaweka makipa wawili kwenye benchi?
Hivi kwenye hichi kikosi Gilchrist anacheza nafasi gani hapo
Hivi kwenye hichi kikosi Gilchrist anacheza nafasi gani hapo
--------------Broja---------------
Mudryk -------Palmer ------Sterling
--Enzo --------------- Caicedo---
Colwill ---Gilchrist ---Disasi ---Gusto
-----------Petrovic----------------
Subs
- Bergstrom GK
- Bettinelli GK
- Thiago Silva CB
- Maatsen LB
- Williams LB
- Gallagher CM
- Golding CM
- Madueke RW
- Washington ST
Hata Caicedo nae hapgi tena pasi za maana, cjui kapatwa na nini yule jamaa.
Kwa nini Poche anapendaga kuwaweka makipa wawili kwenye benchi?