juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,466
Tuseme ukweli asilimia kubwa ya wachezaji ni average. Wanashtuka siku moja moja kucheza vizuri siku nyingine wanalala au wanaamua kutulia.
Kocha hawezi kufanya kila kitu mkuu. Kuna wakati wachezaji wenyewe lazima wahusike kuipambania nembo. Palmer anakosa magoli ya yeye na kipa kocha afanyaje hapo? Offcourse siwezi kukataa kocha ana mchango kwenye hamasa ya timu ila tusimuangushie yeye jumba bovu peke yake tuna wachezaji wachovu, wajivuni na wameridhika.
Chelsea siyo ya kukaa namba 10 muda mrefu hivi, kuna upumbavu wa wachezaji hauvumiliki wamekaa kizembe. Huyu Madueke alipigwa bench mechi kadhaa akili ikamkaa sawa akarudi akafunga mechi 2 mfululizo mkaanza kumsifia humu ooh sio wa kukaa benchi haya angalia utumbo alioufanya leo? Hapa kocha utamlaumu nini ikiwa chezaji lenyewe halijielewi?
Palmer kukosa magoli ya wazi au jackosn kumiss ni juambo la kawaida, hilo linatokmea Liverpool, linatokea CityKocha hawezi kufanya kila kitu mkuu. Kuna wakati wachezaji wenyewe lazima wahusike kuipambania nembo. Palmer anakosa magoli ya yeye na kipa kocha afanyaje hapo? Offcourse siwezi kukataa kocha ana mchango kwenye hamasa ya timu ila tusimuangushie yeye jumba bovu peke yake tuna wachezaji wachovu, wajivuni na wameridhika.
Chelsea siyo ya kukaa namba 10 muda mrefu hivi, kuna upumbavu wa wachezaji hauvumiliki wamekaa kizembe. Huyu Madueke alipigwa bench mechi kadhaa akili ikamkaa sawa akarudi akafunga mechi 2 mfululizo mkaanza kumsifia humu ooh sio wa kukaa benchi haya angalia utumbo alioufanya leo? Hapa kocha utamlaumu nini ikiwa chezaji lenyewe halijielewi?
Hao wapo nafasi ya 12 na tena wana majeruhi 14 kwenye timu yao ya kwanza, hao waliocheza wengi ni academy wao. Habari ndio hiyoPOLENI KWA KUFUNGWA THE BLUES WENZANGU.
Kwa kweli hiyo mechi sijaangalia, sijajua nini kimetokea.
Ila kufungwa na timu ya championship tena ya nafasi ya 10 huko. Aisee THE BLUES imeoza kuanzia:-
1. wamiliki
2. viongozi
3. Kocha
4. Wachezaji
5. Mashabiki
Kilio changu kitaendelea kubaki kwa wamiliki katika kufanya sahihi maamuzi ya kiutendaji.
Uongozi mbovu = timu mbovu
Uongozi mbovu = Selection ya kocha mbovu
Uongozi mbovu = Usajili wa wachezaji wabovu
Hiyo alibahatisha, ukitaka kujua kocha mzuri angalia pattern, trend, consistencySasa kwa hiki kikosi si atabeba makombe yote. Angalia hapo chini kikosi alichofika nacho fainali ya UCL
Maamuzi makubwa mabaya ya uongozi na wamiliki ni jinsi walivyomleta PochettinoPOLENI KWA KUFUNGWA THE BLUES WENZANGU.
Kwa kweli hiyo mechi sijaangalia, sijajua nini kimetokea.
Ila kufungwa na timu ya championship tena ya nafasi ya 10 huko. Aisee THE BLUES imeoza kuanzia:-
1. wamiliki
2. viongozi
3. Kocha
4. Wachezaji
5. Mashabiki
Kilio changu kitaendelea kubaki kwa wamiliki katika kufanya sahihi maamuzi ya kiutendaji.
Uongozi mbovu = Selection ya kocha mbovu
Uongozi mbovu = Usajili wa wachezaji wabovu (Viwango duni na majeruhi)
Uongozi mbovu = timu mbovu
You are very right, Enzo alicheza vizuri sana wakati wa potter tena akiwa bado ni mgeni wa London, ligi na timuKila goti litasema tu hapa ni swala mda tu
Potter anamshinda hata Poch kwenye matumizi ya wachezaji
View attachment 2867028
HmView attachment 2867029
Wamefanya maamuzi mabaya ila Pochettino ndio kadidimiza timu kabisa. Kwa maamuzi mabaya ya akina Tod Chelsea chini ya kocha mzuri ingeweza kuwepo kwenye maeneo ya namba 5 au 6 tena hapo kwa sababu Tod Boehly walifanya stupid decision ya kuwaondoa haraka akina Marina, Bruce na Cech nna wengineo na kuwauza wachezaji hata wale wasiostahili.Watu wanaomtetea Toddy hivi ni maamuzi gani sahihi amefanikiwa kufanya tangu anunue timu zaidi ya miaka 2 now?
Watu wanaomtetea Toddy hivi ni maamuzi gani sahihi amefanikiwa kufanya tangu anunue timu zaidi ya miaka 2 now?
Gap ilikuwa kubwa kati ya viungo na mabeki na pia arrangement ya timu uwanjani ilipwaya sana. Kuan wakati Silva na akina Disasi wanalalamika kutafuta wachezaji wa kuwapasia mipira hawapo, wapo behind opponent players na wamejipanga hovyo. Hawatafuti spaces ili wapasiwe mipira. Wanajilegeza kama wachezaji wa mtaani. No inspiration. Ile press conference aliyotoa Pochettino ataijutia sana kwa sababu hakunyoosha maneno kama makocha wengine. Hakuwaandaa wachezaji kuwa na agresiveness na positive winning mentality. Matokeo ya jana ni ya hiyo speech aliyotoaKila goti litasema tu hapa ni swala mda tu
Potter anamshinda hata Poch kwenye matumizi ya wachezaji
View attachment 2867028
HmView attachment 2867029
Hebu niambie kwa Chelsea hii ni mchezaji gani anaweza kupiga pass, nazungumzia zile killer pass inaifung7a defense ya timu pinzan?Mkuu hivi kipi umekiona kwa Pochetino katika miez 6 tangu awe kocha??
Pattern????
Improvement???
Tactics??
Kila mchezaj chini ya Pochetino ataonekana mbovu
Sikatai kukosa magoli kunatokea kwa Liver na Man City lakini mpaka kuongoza katika timu zilikotengeneza big chances na ndio timu iliyoongoza kukosa big chances sio issue ndogo tena. Mpaka kufikia hapo kocha kashatengeneza mfumo wa uchezaji na hawa average players lakini wao ndio wanamfelisha alwaysPalmer kukosa magoli ya wazi au jackosn kumiss ni juambo la kawaida, hilo linatokmea Liverpool, linatokea City
Wewe umefuatilia mpira na unaona kweli Pochettino anainfluence chochote hapo Chelsea??
Take the big picture sio hizo moment ndogo za akina Palmer kumis. Chelsea haichezi vizuru end of story
Tunacheza bila creativity, bila agression, kilegelege mno. Kocha bora atapata matokeo what ever what! ila hilo kwa Pochettino hakuna. Timu inazidi kudorora, inazidi kudidimia, inakwenda kinyume nyume kimatokea
Wewe nipe tadhmini ya mchezo kwenye big picture, hizi scenarios ndogondogo achana nazo, kulikuwa na pattern yeyote, kulikuwa na mentality yeyote, kulikuwa na uhitaji wa kucheza na kushindaSikatai kukosa magoli kunatokea kwa Liver na Man City lakini mpaka kuongoza katika timu zilikotengeneza big chances na ndio timu iliyoongoza kukosa big chances sio issue ndogo tena. Mpaka kufikia hapo kocha kashatengeneza mfumo wa uchezaji na hawa average players lakini wao ndio wanamfelisha always
Daah aseeh haya maajabu sasa. Leo hii Graham Potter anasifiwa? Eti mchezaji fulani alikua bora chini ya Potter? Hao walikua bora chini ya Potter waliisaidia vipi timu na mbona ikaishia vile kocha kutimuliwa?Wamefanya maamuzi mabaya ila Pochettino ndio kadidimiza timu kabisa. Kwa maamuzi mabaya ya akina Tod Chelsea chini ya kocha mzuri ingeweza kuwepo kwenye maeneo ya namba 5 au 6 tena hapo kwa sababu Tod Boehly walifanya stupid decision ya kuwaondoa haraka akina Marina, Bruce na Cech nna wengineo na kuwauza wachezaji hata wale wasiostahili.
Bado wamenunua wachezaji wazuri tena sana
Hiyo list yote na bado wapo zaidi, huwezi kusema Tod na Eghbali wamefanya decision mbaya
- Gusto hii ni namba nyingine kabisa
- Enzo ni bonge la mchezaji na ameprove hilo chini ya Potter
- Caicedo ni kiungo bora kabisa
- Palmer haitaji kutetewa
- Mudryk ni winger mzuri
- Lavia ni the best
- Nkunku ndio usiseme
- Disasi ni bonge la CB, kinachomtokea ni uharamia wa soka. Disasi ni bora kuliko Rudiger alipohamia Chelsea msimu wake wa kwanza, ila chini ya Poche ataonekana mzito na hafai
- Badiashile alikuwa the best CB chini ya Potter, ila sas andio tena
Kosa lao ni moja tu kumleta Pochettino, kwenye timu mimi sioni makosa makubwa sana zaidi ya hayo niliyoeleza hapoo juu
Miuu huyu kocha mtamtetea hadi mtajifichaHebu niambie kwa Chelsea hii ni mchezaji gani anaweza kupiga pass, nazungumzia zile killer pass inaifung7a defense ya timu pinzan?
Utapataje pattern ikiwa nusu ya wachezaji wa kuamza wana spend robo ya msimu KCMC? Nkunku, James, Chilwell, Lavia, Fofana, Ugochukwu, Sanchez.
Haya unatengenezaje tactics kwa Jackson anakosa magoli kama kaona moto. Lakini pamoja na hivyo Chelsea ndio timu inayoongoza kwa kutengeneza nafasi za kufunga na ndio inayoongoza kwa kukosa nafasi nyingi za wazi. Hili hamulioni mnasema kocha mbovu. SMH!
Nadhani mmemsahau Poch yule wa Spurs kutoka 2016 mpaka 2019
Kwanza tumecheza bila proper namba kumi, Gallagher ile sio position yake lakini kutokana na ufinyu wa wachezaji ikambidi acheze hapo. Pia kumuanzisha Palmer kama false 9 nadhani Poch alitaka ku impress mashambulizi kwa kuzingatia uwezo wa Palmer finishing zake lakini pia alitaka awe na washambuliaji wengi wenye quality kwa kumuweka na Madueke ndani ndio maana Broja akaanzia nje. Hii inasaidia kwenye transition kutoka kushambuliwa kuja kushambuliwa hasa ukiwa na wachezaji wenye kasi na ilitokea ila kwa upumbavu wa Madueke hatukufanikiwa kupata chochote.Wewe nipe tadhmini ya mchezo kwenye big picture, hizi scenarios ndogondogo achana nazo, kulikuwa na pattern yeyote, kulikuwa na mentality yeyote, kulikuwa na uhitaji wa kucheza na kushinda
Unaweza kumrate namna gani Pochettino kupitia uchezaji wa wachezaji, au kocha huwa anapimwa kwenye nini?
Hao opponenty ni wabovu kupita maelezo ila sisi ni takataka tunastahili kuwepo dampo
Mkuu siwezi kujificha. Kwani mimi na wewe tuko hili jukwaa toka lini? Niondoke kwa sababu ya mijadala hii midogo noo haiwezekani. Mimi ni shabiki wa Chelsea anayekuja na kuondoka kocha au mchezaji ila Chelsea inabakia ndio mimi Chelsea sasaMiuu huyu kocha mtamtetea hadi mtajificha