Kwanini hawa akina Boehly wanawaogopa makocha elite,Baadhi ya mashabikk hawataki elewa hii kitu,
Hawataki elewa umuhim wa kocha mzuri
View attachment 2867619
Wanataka kocha kondoo na kichwa panzi kama PochKwanini hawa akina Boehly wanawaogopa makocha elite,
- Luciano Spalletti
- Julian Nagelsman
- Hansi Flick
- Antonio Conte
- Diego Simeone
- Roberto Dizerbi
Taratibu na sisi mashabiki tunaanza kuzoea hali na kuridhika kuwa Chelsea sio timu ya makombe tena[emoji599][emoji779]️There remains a genuine belief that Mauricio Pochettino is the right man to lead Chelsea forward on the pitch.
As always with any club, the situation will be assessed at the end of the season and that is certainly the case at Chelsea.
#CFC
[emoji117] Safi sana Poche amalize msimu hizi timua timua za haraka zitatuletea poor coach mwingine.
[emoji599][emoji779]️There remains a genuine belief that Mauricio Pochettino is the right man to lead Chelsea forward on the pitch.
As always with any club, the situation will be assessed at the end of the season and that is certainly the case at Chelsea.
#CFC
[emoji117] Safi sana Poche amalize msimu hizi timua timua za haraka zitatuletea poor coach mwingine.
Taratibu na sisi mashabiki tunaanza kuzoea hali na kuridhika kuwa Chelsea sio timu ya makombe tena
Wachezaji wao tayari na kocha, wamiliki na Uongozi nao wanaridhika taratibu. Hadi misimu mitatu au minne, tutajikita kwenye midtable
Tutakuwa confotable tukishika no. 10-12 ali mradi hatushuki daraja.
Kama akina Palace
Hata Westham, villa, Brighton sasa hivi wana hamu ya makombe kutushinda sisi
Mfa maji haachi kutapatapa THE BLUES imeshakuwa mid table team. Tutafute kocha wa kunoa vipaji na kuuza Brighton, Dortmund, Benefica wameweza tujifunze kwao.
Hawa wachezaji wanaringa kwa sababu walipewa miakataba mirefu na obviously hata mishahara imenona.Hahahaha nadhani Toddy atakuwa anachanganya usajili wa wachezaji wa Basketball vs Football. Ndio maana ametusajilia marasta wengi.
Kwamba laana ya MRUSI kunyang'anywa timu?Laana ikifika, imefika
Hakuna mahali mnaenda
WaziKwamba laana ya MRUSI kunyang'anywa timu?
Hapana Roman ndio alibariki mchakato mzima wa kuuza Chelsea, ndio maana akatoa zabuni kwa kampuni kusimamia mauzo ya timu kwa masharti ambayo Roman aliyaweka ikiwemo atakayenunua aendeleze mchakato wa kupanua uwanja na kuendeleza Chelsea academy iendelee kuwa academy bora duniani.
Na Roman hakulazimishwa kuuza timu bali aliuza kwa mapenzi yake kwamba timu isiendelee kuwekewa vikwazo vya kiuchumi kupekea kufanya vibaya na kushuka daraja.
Laana ya Roman itawatafuna serikali ya UK sio club THE BLUES.
Nadhani hata huko Roman alipo atakuwa anaumia sana THE BLUES kuwa mid table team.
Walionunua timu wakina Toddy ndio washamba wa mpira wanaendesha timu shangalabangala
Taarifa ya nyuma hii
Kwani mbona wachezaji wanaumia sana pale Stamford Bridge ? .Mimi binafsi simchukulii Nkunku kama ni Injury prone
rekodi yakle ya nyuma inaonyesha alikuwa na majeruhi kidogo na ya kawiada kama wachezaji wengine ila alipokuja Chelsea akakaribishwa na majeruhi kama ya James na Chilwell
View attachment 2869269
Mimi binafsi simchukulii Nkunku kama ni Injury prone
rekodi yakle ya nyuma inaonyesha alikuwa na majeruhi kidogo na ya kawiada kama wachezaji wengine ila alipokuja Chelsea akakaribishwa na majeruhi kama ya James na Chilwell
View attachment 2869269
Kwani mbona wachezaji wanaumia sana pale Stamford Bridge ? .
Wanafanyishwa mazoezi gani ?