Hawa Wamarekani ni wajinga kuliko hata akina bashiteMkopo wa miezi 6 tuu
Maamuzi mengine ya kijinga sana ni bora Maatsen angebaki hiyo miezi 6 asaidie timu kucover gap la Chilwell & Cucurela. View attachment 2869326
Mimi ni mmoja kati y ambao nitaombea chelsea ifungwe hizo mechi mbili. Mtanisamehe kwa huto tumechi tuwili tu.Breaking:
Chelsea wamewasiliana na Hansi Flick kuhusu nafasi ya muda ya miezi 6. Iwapo Pochettino atashindwa kuifunga Fulham au Middlesbrough, nafasi yake itachukuliwa.
[Der Untergang] Chanzo hiki sio ya uihakika, nahisi hizi taarifa ni za kupika
Chelsea have contacted Hansi Flick about a 6 month interim position. If Pochettino fails to beat Fulham or Middlesbrough, he will be replaced. [Der Untergang]
View attachment 2869259
Sababu zote zilizotajwa hapo chanzo ni MAAMUZI MABOVU YA DIRECTORS & OWNERS, wamepelekea:-
Poor selection ya kocha
Poor scouting ya wachezaji wenye viwango duni, kindergarten & injuries players
Hii mbona umeikariri kama sala ya Bwana!Chief tunao wachezaji wengi wakawaida sanaaa, tupo hapa atakuja kocha mwingine itakuwa the same story.
Breaking:
Chelsea wamewasiliana na Hansi Flick kuhusu nafasi ya muda ya miezi 6. Iwapo Pochettino atashindwa kuifunga Fulham au Middlesbrough, nafasi yake itachukuliwa.
[Der Untergang] Chanzo hiki sio ya uihakika, nahisi hizi taarifa ni za kupika
Chelsea have contacted Hansi Flick about a 6 month interim position. If Pochettino fails to beat Fulham or Middlesbrough, he will be replaced. [Der Untergang]
View attachment 2869259
NopSababu zote zilizotajwa hapo chanzo ni MAAMUZI MABOVU YA DIRECTORS & OWNERS, wamepelekea:-
Poor selection ya kocha
Poor scouting ya wachezaji wenye viwango duni, kindergarten & injuries players
Tunamhitaji Hans FlickMimi ni mmoja kati y ambao nitaombea chelsea ifungwe hizo mechi mbili. Mtanisamehe kwa huto tumechi tuwili tu.
Kwanza kocha anayekuja kuchukua kandarasi baada ya Poche anakuja kula mshahara bure hawezi kupata mafanikio makubwa kwa muda mfupi na hawa makinda.Hii mbona umeikariri kama sala ya Bwana!
Wachezaji wote ni wa viwango vya juu, tukifika wakati wa kubadilisha kocha ndio utajua
Tuliamini sana tunakikosi mbovu wakati wa Lampard 2020/21. Alipokuja TT January ile ya 2021 ndani ya miezi sita tu, Chelsea ilionekana bonge la timu na ikabeba UEFA mbele ya akina Porto, RM, ATM, City na wengineo kibao
Tofauti na TT hii timu ina makinda wengi ambao watahitaji kocha muafaka ili kuondoa inconsistency hadi ya akina Raheem Sterling
Huyo tulikuwa tukimuita mwoka mikate, anajitahidi sasa hivi ila huku alikuwa mzembe sana, hajitumi saa nyingine anasinzia uwanjani akiwaachiua wengine wahangaikeNipo naangalia Burnley Vs Luton, wapo mkiani ila wanacheza mpira wakueleweka kuliko chelsea. Vicent Company amempita vitu vingi sana Poch.
Nasikitika tulimtoa Ross Barley ambae anajitahidi kupga hata pass za maana tukabaki na kilaza Gallager ambae anatumia energy kubwa,wkt kupga hata pass moja ya maana hajui.
Ngoja tutapendekeza jina lako maana naona unajua soka kuliko makocha wengiKwanza kocha anayekuja kuchukua kandarasi baada ya Poche anakuja kula mshahara bure hawezi kupata mafanikio makubwa kwa muda mfupi na hawa makinda.
Hao makinda mpaka waje kupata experience ya Epl ni miaka 3 mpaka 5 ijayo.
Tutegemee THE BLUES itaendelea kuwa mid table team kwa miaka mingine 5.
Unajua chief kuna kitu unamiss hapaHata akija kocha world class kama PEP lazima asijili experienced players wengi watakaompa matokeo EPL.
Hivi mnadhani tukimpata kocha kama De Zerbi muumini wa makinda ndio tutachukua ubingwa?
Mnajidanganya De Zerbi hata apewe city au Liverpool hawezi kuchukua ubingwa, nafasi yake itakuwa 5, 6 & 7.
Hizi timu kubwa zina presha wazee Brighton itafungwa mechi 5 mfululizo sio story wala hakuna presha kocha anapata space ya kutulia na kujipanga na kufanya maboresho.
Poche mwenyewe akiwa spurs alikuwa hana presha na Poche ni slow learner kwenye kuboresha timu. Ameenda PSG amekutana na presha kubwa ya UCL kavurunda, hivyo hivyo Chelsea.
Kwa yaliyotokea nyuma, Tod nadhani atajifunza kumsikiliza kochaToddy anayo vision yake anayotembelea ambayo ni kujenga team kupitia vijana wadogo.
Mafanikio ya huu mpango ni ya muda mrefu.
Chini ya huu mpango Toddy ataendelea kuajiri makocha ambao watatembea na vision yake kulelea na kuwajenga vijana.
Matamanio ya mashabiki ni kuona THE BLUES inarudi kwenye njia za Ubingwa, kama enzi za Roman Abramovich
1. Aletwe kocha world class
2. Wasajiliwe exprienced players
Mashabiki wanaamini pesa za ovyo anazomwaga Toddy zinaweza kujenga team ya makombe endapo atafanya maamuzi sahihi.
Kwahiyo kwa sasa Vision ya Toddy inatofautiana na matamanio ya mashabiki.
Kwa sasa Makocha world class wanaiangalia project ya Chelsea hawafurahishwi jinsi inavyoondeshwa Toddy na wengi watakataa kandarasi ya kuja kuifundisha Chelsea.
Toddy ataendelea kuitisha interview za makocha uchwara.