juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,466
Msijaribu ku provoke kile tunachohubiri humu. Sina hakika kama kuna mtu alishawahi mpoint Gusto kama mchezaji mbovu. Better be precise brothaKila nikimuona Gusto anavyocheza halaf humu ndani kuna mtu anakwambia Gusto ni takataka na niwakawaida nabaki na choka kabisa
Hapo ndio najua kuna watu huwa hatuangalii mpira Tunaangalia livescore tu
Msijaribu ku provoke kile tunachohubiri humu. Sina hakika kama kuna mtu alishawahi mpoint Gusto kama mchezaji mbovu. Better be precise brotha
Kwamba kuna mtu alimuita Gusto takataka?Hakuna sehem nimeprovoke mtu hapo ila fatilia post za humu za nyuma
Kwamba kuna mtu alimuita Gusto takataka?
Brother unatoboaje EPL wakati wamiliki wa timu wanafanya maamuzi ya ovyo ovyo.Ukweli ni kwamba hatuko vizuri , huwezi kutoboa epl kwa inconsistence kama hii , ushindi wa papatu papatu
Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
Yupo mtu hapa alisema wachezaji wengi ni wa kawaida sanaMsijaribu ku provoke kile tunachohubiri humu. Sina hakika kama kuna mtu alishawahi mpoint Gusto kama mchezaji mbovu. Better be precise brotha
Pep - ManagerChelsea wana uamuzi mkubwa wa kufanya na kwa mujibu wa chanzo kimoja, kuna mashaka juu ya uwezo wa kiufundi wa Conor Gallagher kwa sasa.
Pochettino anataka apewe mkataba mpya lakini watoa uamuzi wanaona Gallagher akiuzwa italeta faida ghafi kubwa na pia kuondokana na uwezo wake mdogo wa kiufundi.
‘Kiwango chake cha kufanya kazi hakina shaka, uwezo wake wa kuchezea wapinzani na kurudisha mpira nyuma labda ndio nyenzo yake ya thamani zaidi,’ kilisema chanzo kimoja cha habari.
'Lakini daima kumekuwa na shaka juu ya upande wa kiufundi wa mchezo wake.'
Ambaye yuko kwenye vyanzo vingi vya habarim kwa sasa ni kiungo wa Everton Amadou Onana ambaye anaonekana ataziba pengo la Gallagher.
Chelsea tayari wameanza mazungumzo na Everton kumnunua Amadou Onana. The Blues wako tayari kulipa pesa nyingi ili kumpata kiungo huyo.
{Voetbalkrant}
Poch hajawahi kuwa clueless coachYupo mtu hapa alisema wachezaji wengi ni wa kawaida sana
Nikatoa list aniambie ni wangapi na akina nani hakutoa jibu
Sisi tunasisitiza wachezaji wengi tulionao wapya ni wa viwango vya juu, Poche ndie anajitahidi kuwashusha form zao kwa vile ni clueless coach ninyi mnabisha
Andre Schurrle mzungu kichaa nilikuwa nampenda sana huyo jamaa, alikuwa anatandika magoli ya mashuti ya masafa marefu.Mnaikumbuka hii?View attachment 2904092
Pep - Manager
Arteta - Manager
Klop - Manager
Poche - Head coach - Huna maamuzi juu ya wachezaji unaletewa mazagazaga ya kila aina kazi yako kuyaorganise yakupe matokeo
TODDY anataka kuanzisha mikopo umiza, kausha damu kwa wafanyakazi wa club.Chelsea wanatazamiwa kumteua mkuu wa footbal operations wa Swansea City Josh Marsh kuwa meneja wao mpya wa mikopo. Anatarajiwa kuanza jukumu hilo mwezi Machi.